Hii ni simple sana,
1. Glazers watuachie timu, Shekh ashike usukani.
2. Timua kocha, tunahitaji kocha mwenye ushindani, kocha atakae jua kuwa hii ni EPL na sio Eradivisie aache kuchukua mchezaji yoyote ili mradi kawahi kucheza Eradivisie au ni mholanzi, kocha ambae atakua tayari kuwaambia Glazers kuwa hii ni nyeusi na hii ni nyekundu, sio nyeusi anasema ni blue ili mradi kuwaridhisha Glazers.
3. Timua kikosi kizima muache Varane, Martinez na Casemiro, Rashbeck mpeleke kwa mkopo MK Dons. The rest wauze kokote kule out of EPL, wachezaji kama Anton, Fred, Sancho, Luke shaw, AWB ni dhambi kuendelea kuwaona week in week out wakicheza EPL achilia mbali kucheza Manchester.
4. Nunua wachezaji wenye winning mentality, matured players tuachane na hivi vitoto