mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,694
- 19,545
Magwaya akiuzwa kwa hiyo pesa naamia unyumbuni wallahi vile, maana huyo marketing officer atakaye simamia Hilo deal atakua sio binadamu wa kawaidaWachezaji wetu bila kuwauza kwa bei ya hasara hakuna anayewanunua.
Maguire nasikia tayari huko hakuna maelewano mazuri na Bwana Eric so lazima atauzwa hata kwa hasara €30m itapokelewa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]