Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Huyo Antony watu wanalalamika bure tu kutokana na bei aliyonunuliwa.Na kwa Antony ndio sehemu pekee ninayoweza kulaumu ila sehemu nyingine zote naweka tiki.
Tuna imani na kocha wetu kama kutapeliwa tumeanza hata kabla yake huwa karibu kila msimu tunaigiza sajili ya kitapeli
Haina tofauti na Grealish alivyokua analalamikiwa na mashabiki wa City kwenye msimu wake wa kwanza, ila msimu wa pili kazi aliyoipiga mashabiki wenyewe wakaanza kumuimba.
Naimani kubwa msimu unaofata Antony atapunguza mbwembwe na kufocus zaidi katika magoli na assists.