Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal siyo kwamba mna kikosi kibaya, tatizo hamtaki kukubali ukweli.

Tukipitia kila mchezaji defence yenu yote na kipa siyo wachezaji wanaopaswa kuanza kwenye timu yoyote ile inayopambana kubeba EPL au UCL.

Midfield ni Rice na Ødegaard tu unaweza kuwategemea na siyo Havertz.

Front line pale ni Saka tu, huwezi kutegemea striker kama Jesus ubebe EPL au UCL.

Labda kama nyie wenzetu mna vipaumbele tofauti na kushinda makombe.

Ndiyo maana mimi huwa sipo excited na msimu wowote wa United kwasasa kwasababu nishakubali United haiwezi kushinda EPL wala UCL msimu ujao na ikitokea yatakuwa ni maajabu ktk soka.

Mashabiki wa Arsenal tatizo lenu ni kujipa matumaini makubwa sana. Mna kikosi cha kawaida sana. Msimu ujao mkijitahidi sana ni top 4 place, UCL kule kwa hicho kikosi mnaweza kufika last 16. Makombe ambayo mnaweza kushinda kwa hiyo squad ni FA Cup na Carabao.

Kwa takwimu za msimu ujao nikipanga combined XI ya wachezaji wa United x Arsenal itakuwa hivi.
View attachment 2684958
Kama chelsea walibeba kombe na Demba Ba iweje Jesus ashindwe?
Tulia na timu yako mbovu......

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Safi Sana Atalanta ,hakuna biashara za Mali kauli hapa

#mufc have offered players in part-exchange for Rasmus Hojlund during talks with Atalanta — but the Italian club are insisting on a cash payment. Atalanta have placed a £85.5m price on the 20-year-old’s head.

[@lauriewhitwell]
Ndio furaha za Yatima zilipo poor washika ukuta wa London
 
Kujinyonga ni tabia ya Yatima FC ndio maana vichapo vyao vizito viliondoka na watu
Endelea kupiga mboyoyo,watu hawataki biashara za Mali kauli

Manjesta offered Fred, Donny can de Beek, and money in exchange for Rasmus Højlund – Atalanta rejected the bid, naming £85.5m as their asking price.
 
Hamna anayeondoka kwa wale waliokuwepo last season ila si unajua pancha za Varane akiumia tu anatuachia msala wa Maguire
Kwanza wapunguze Maguire na Varane hata ndani transfer window mbili ili tutafute reliable defenders.
 
Hiyo €85m ni bora wakatoe hapa tu ila kwa yule kijana ni kamari hii ukizingatia Serie A wachezaji wake wengi wanaflop premier league hata Lukaku kule alionekana bora sana.

Kijana Hojlund anataka kuja na ana shauku sana kikwazo tayari ni price tag ile €55m ya mwanzo ilikuwa negotiable
 
Attachments

  • IMG_20230713_184951.jpg
    IMG_20230713_184951.jpg
    60.7 KB · Views: 11
  • IMG_20230713_184951.jpg
    IMG_20230713_184951.jpg
    60.7 KB · Views: 12
Ila kina Glazer sidhani kama wana nia ya dhati ya kuiuza Manchester United, lazima wanacheki waone kama ligi ikienda vyema basi wataahirisha mpango wao, mana wanahisi wanauza team wakati wa mafanikio yanakaribia
 
Kwa mtazamo wako tunahitaji kuboresha maeneo yapi msimu huu mkuu?
Hii ni simple sana,

1. Glazers watuachie timu, Shekh ashike usukani.

2. Timua kocha, tunahitaji kocha mwenye ushindani, kocha atakae jua kuwa hii ni EPL na sio Eradivisie aache kuchukua mchezaji yoyote ili mradi kawahi kucheza Eradivisie au ni mholanzi, kocha ambae atakua tayari kuwaambia Glazers kuwa hii ni nyeusi na hii ni nyekundu, sio nyeusi anasema ni blue ili mradi kuwaridhisha Glazers.

3. Timua kikosi kizima muache Varane, Martinez na Casemiro, Rashbeck mpeleke kwa mkopo MK Dons. The rest wauze kokote kule out of EPL, wachezaji kama Anton, Fred, Sancho, Luke shaw, AWB ni dhambi kuendelea kuwaona week in week out wakicheza EPL achilia mbali kucheza Manchester.

4. Nunua wachezaji wenye winning mentality, matured players tuachane na hivi vitoto
 
Ila kina Glazer sidhani kama wana nia ya dhati ya kuiuza Manchester United, lazima wanacheki waone kama ligi ikienda vyema basi wataahirisha mpango wao, mana wanahisi wanauza team wakati wa mafanikio yanakaribia
Hao hawataki kuiachia kama wangekuwa na nia kweli wasingeenda hadi round ya 5 ya bidding.

Pia mwezi wa 6 ilitoka taarifa kwamba Sheikh Jassim akifanikiwa still hadi ligi inaanza hatakuwa na mamlaka kwa sababu inachukua wiki 8-12 Premier League kuapprove so hapo ni kama miezi 3 kwa hiyo Glazers bado watakuwa in power..

Kwa hiyo tusijisumbue kujipa moyo kwa sababu tunaweza kupata taarifa kamili mwezi wa 9 au wa10

So huenda hilo ndio linalokwamisha maana process sio nyepesi
 
Hii ni simple sana,

1. Glazers watuachie timu, Shekh ashike usukani.

2. Timua kocha, tunahitaji kocha mwenye ushindani, kocha atakae jua kuwa hii ni EPL na sio Eradivisie aache kuchukua mchezaji yoyote ili mradi kawahi kucheza Eradivisie au ni mholanzi, kocha ambae atakua tayari kuwaambia Glazers kuwa hii ni nyeusi na hii ni nyekundu, sio nyeusi anasema ni blue ili mradi kuwaridhisha Glazers.

3. Timua kikosi kizima muache Varane, Martinez na Casemiro, Rashbeck mpeleke kwa mkopo MK Dons. The rest wauze kokote kule out of EPL, wachezaji kama Anton, Fred, Sancho, Luke shaw, AWB ni dhambi kuendelea kuwaona week in week out wakicheza EPL achilia mbali kucheza Manchester.

4. Nunua wachezaji wenye winning mentality, matured players tuachane na hivi vitoto
Endelea kuota ETH atatimuliwa na Dingi yako labda
 
Maguire ameshapewa go ni wa kutoka tu. Varane aanzie bench maana miguu ya glass
Maguire na Varane kwa sasa ni liability.

Maguire ni liability kwa sababu akicheza anakupunguzia nafasi ya kushinda karibu asilimia hamsini.

Varane ni liability kwa sababu hawezi kucheza zaidi ya mechi tano bila kuwa injured hata kwa wiki moja.
 
Aston Villa atamuua mtu, sisi na wale tuendeleee na hadithi za kitoto.

Anthony, sterling, madueke, badiashile, fred, mctominay n.k

View attachment 2687067
Moussa diaby,
Sema siwaamini sana wachezaji wanaotoka bundesliga
Hii partnership ya Leon Bailey na Diaby kwenye flanks ilikuwa hatari sana.

Kama wakirudia ubora wao wakiwa Bayer 04 Aston Villa itakuwa ya moto sana.

Ni kweli wachezaji wanaotoka Bundesliga hawafanyi vizuri EPL.
 
Hii ni simple sana,

1. Glazers watuachie timu, Shekh ashike usukani.

2. Timua kocha, tunahitaji kocha mwenye ushindani, kocha atakae jua kuwa hii ni EPL na sio Eradivisie aache kuchukua mchezaji yoyote ili mradi kawahi kucheza Eradivisie au ni mholanzi, kocha ambae atakua tayari kuwaambia Glazers kuwa hii ni nyeusi na hii ni nyekundu, sio nyeusi anasema ni blue ili mradi kuwaridhisha Glazers.

3. Timua kikosi kizima muache Varane, Martinez na Casemiro, Rashbeck mpeleke kwa mkopo MK Dons. The rest wauze kokote kule out of EPL, wachezaji kama Anton, Fred, Sancho, Luke shaw, AWB ni dhambi kuendelea kuwaona week in week out wakicheza EPL achilia mbali kucheza Manchester.

4. Nunua wachezaji wenye winning mentality, matured players tuachane na hivi vitoto
Tusajili timu mpya dirisha moja tu la usajili?
 
Back
Top Bottom