Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vipi humu? Kuna jipya? Sisi kule kwetu tuko bize tunashusha vyuma vya maana. Nyie je mna lolote la kujivunia?
 
Eti mwamba kaumia[emoji1316][emoji23][emoji23]
Screenshot_20230716-181951.jpg
 
Sisi Kama familia ya mpira

Kitendo alichofanyiwa Maguire pale Manchester United sio cha kupuuzwa hata kidogo, ifike mahala huyu Ten Hag apunguze mihemko yake wewe chezaji kama Maguire unamdhalilisha kisa huyo Bruno Fernandes aliyetaka kukimbia kipigo cha 7:0 kutoka Kwa Liverpool.... [emoji35]
20230716_184200.jpg
 
Kanyang'anywa kitambaa bila sababu ,kwann asimuuze au kumwambia aondoke ,kuliko amemnyang'anya kitambaa bila sababu ya msingi ,sio mtovu wa nidhamu ,
Maguire hataki kuuzwa kisa mshahara mkubwa,hiyo ni strategy ya kwanza ya kumlazimisha atake kuondoka ama achukue nafasi ya Jones benchi[emoji23][emoji23]
 
Sisi Kama familia ya mpira

Kitendo alichofanyiwa Maguire pale Manchester United sio cha kupuuzwa hata kidogo, ifike mahala huyu Ten Hag apunguze mihemko yake wewe chezaji kama Maguire unamdhalilisha kisa huyo Bruno Fernandes aliyetaka kukimbia kipigo cha 7:0 kutoka Kwa Liverpool.... [emoji35]View attachment 2690103
Hata asipokuwa Bruno but Varane au Casemiro mmoja wao apewe ila kumpora Maguire unahodha ni jambo jema,captain gani anakaa mbali na matukio uwanjani[emoji23]

Unakuta kuna unfair moment imetokea yeye anaitenga mbali huku wenzie wanajaribu kumlalamikia refa,rejea red card ya Martial dhidi ya Spurs.
 
Yaani Asenyo mnanua michele na kuni halafu ndio mnakuja kutupigia kelele humu?
Subirini ligi ianze mtupikie biriani Kima nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo kumnunua Michele na kuni Ina maana tunaanda bonge la Partey mwisho wa msimu watu wa duniani wafurahi
 
Hata asipokuwa Bruno but Varane au Casemiro mmoja wao apewe ila kumpora Maguire unahodha ni jambo jema,captain gani anakaa mbali na matukio uwanjani[emoji23]

Unakuta kuna unfair moment imetokea yeye anaitenga mbali huku wenzie wanajaribu kumlalamikia refa,rejea red card ya Martial dhidi ya Spurs.
Luke Shaw, Bruno au Lindelof
 
Back
Top Bottom