Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Shabiki wa Cheltako ulimaliza namba 12 na umezidiwa epl na Man City walioibuka 2010+ unapata vp kiburi cha kuropoka hovyoLeo ni kuipoteza NYUMBU kwenye ramani ya mpira
Ng'ombe nyie

Shabiki wa Cheltako ulimaliza namba 12 na umezidiwa epl na Man City walioibuka 2010+ unapata vp kiburi cha kuropoka hovyoLeo ni kuipoteza NYUMBU kwenye ramani ya mpira

Mchezaji akilipwa mshahara mkubwa alafu ana uwezo wa kawaida inakuwa ngumu sana kumuuza kwa sababu zifuatazo:
Tunaposema kulipa mishahara mikubwa sana kuna madhara hasa kama mchezaji kiwango chake hakistahili malipo hayo, hasara zake ndio kama hizo.
Machester United ndio timu inayolipa mishahara mikubwa zaidi EPL. Lakini huenda ndio timu yenye wachezaji wavivu zaidi EPL.Arsenal tuliingia hasara kuwavunjia mikataba Ozil,Auba,n.kMoja ya hasara ya kulipa mishahara mikubwa ni hii
Mchezaji akilipwa mshahara mkubwa alafu ana uwezo wa kawaida inakuwa ngumu sana kumuuza kwa sababu zifuatazo:
1) Timu zingine zinazotaka kumnunua wanashindwa kufikia makubaliano ya mshahara wake; wachezaji wengi hawakubali kwenda timu kwa mshahara mdogo kuliko anaolipwa.
2) Mchezaji mwingine yuko radhi akae benchi maadamu kibunda kinaingia. Hajali.
3) Ili kumuuza inabidi klabu iwe ruthless—yaani kama mkataba wake amebakiza miaka miwili wamlipe ela yote ya miaka hiyo iliyobaki, wamfukuze/wavunje mkataba. Hiki kitu kwa Glazers ngumu sana kufanya.
Tunaposema kulipa mishahara mikubwa sana kuna madhara hasa kama mchezaji kiwango chake hakistahili malipo hayo, hasara zake ndio kama hizo.
Machester United ndio timu inayolipa mishahara mikubwa zaidi EPL. Lakini huenda ndio timu yenye wachezaji wavivu zaidi EPL.
Matatizo yote tumejisababishia sisi, tusingeshindwa kuuza wachezaji ili tupate hela ya kusajili wengine.
Watu kama Maguire na Martial ni mizigo ila kuuzwa hawataki,acha tuendelee kuwaangalia Gunners soon wanamfikia City
Casemiro was a panick buy baada ya kumkosa FDJ, alishawahi kumtaka Timber wakati tayari tuna Martinez.Casemiro alitoka Erivedise ?
Ngoja tusubiri abaki na kikosi alichokitengeneza yeye tuone.Casemiro was a panick buy baada ya kumkosa FDJ, alishawahi kumtaka Timber wakati tayari tuna Martinez.
ETH is overrated
Baada ya kumkosa timber ndio akageukia kwa lisandro martinez.alishawahi kumtaka Timber wakati tayari tuna Martinez.
Overrated ila makocha wenu ndio overrated pro maxCasemiro was a panick buy baada ya kumkosa FDJ, alishawahi kumtaka Timber wakati tayari tuna Martinez.
ETH is overrated

Hao ni mashosti tu kocha kuchukua former players wake sio shida kikubwa waperform.Baada ya kumkosa timber ndio akageukia kwa lisandro martinez.
Ni kweli mmefuliaUpdates
Man Utd wanaangalia uwezekano wa kumsajili kipa mwingine baada ya kuona Inter Milan wanatamka bei kubwa kwa Onana,
Je hii ni mbinu ya Utd kuwafanya inter washushe bei au ni kweli tumefulia ?
Kinachosabaisha sio Inter ni financial fair play.Updates
Man Utd wanaangalia uwezekano wa kumsajili kipa mwingine baada ya kuona Inter Milan wanatamka bei kubwa kwa Onana,
Je hii ni mbinu ya Utd kuwafanya inter washushe bei au ni kweli tumefulia ?
Bado tunarudi pale pale kuwa EtH anataka kuifanya united kama kituo cha wachezaji toka ligi ya uholanziBaada ya kumkosa timber ndio akageukia kwa lisandro martinez.
Acha upumbavu kuna Waholanzi wangapi kawasajili zaidi ya Malacia na VDB ambaye kamkuta na anakaribia kusepa.Bado tunarudi pale pale kuwa EtH anataka kuifanya united kama kituo cha wachezaji toka ligi ya uholanzi

Hakuna team ronaldo humu, yule ni legend wa timu tunampenda sote....lkn namba hazidaganyi mholanzi ni mmoja malacia tu ndio kaletwa na Ethan, so watu acha waseme japo wana ongea uongo...relax brotherAcha upumbavu kuna Waholanzi wangapi kawasajili zaidi ya Malacia na VDB ambaye kamkuta na anakaribia kusepa.
Hata akiwa Ajax alikuwa hana kawaida ya kutumia Waholanzi kwenye first 11 yake ukikuta wengi ni 3/4.
Ni changamoto ya timu yetu kukataliwa na kila wachezaji ndio inasababisha hivyo ushawishi hakuna tena
Nataka tu niseme kitu kimoja utafiti wangu unaonesha mashabiki wa United wanaomchukia Ten Hag ni mashabiki wa Ronaldo bado wanaumia namna GOAT wao alivyoshikishwa adabu
So nenda kalie mwehu wewe hama timu kama hutaki kumuona ETH hadi pale atapofukuzwa ndio urudi.
Mashabiki wa United wanaojua mpira wanaelewa impact ya ETH nyie plastic fans kashabikieni rede tu au mfuateni jamaa yenu Al Nassr
Eeh kaletwa na ETH na sio ajabu hiyo kitu mbona Pep ana Wahispania pale City.Hakuna team ronaldo humu, yule ni legend wa timu tunampenda sote....lkn namba hazidaganyi mholanzi ni mmoja malacia tu ndio kaletwa na Ethan, so watu acha waseme japo wana ongea uongo...relax brother
fake newsUpdates
Man Utd wanaangalia uwezekano wa kumsajili kipa mwingine baada ya kuona Inter Milan wanatamka bei kubwa kwa Onana,
Je hii ni mbinu ya Utd kuwafanya inter washushe bei au ni kweli tumefulia ?
Acha upumbavu kuna Waholanzi wangapi kawasajili zaidi ya Malacia na VDB ambaye kamkuta na anakaribia kusepa.
Hata akiwa Ajax alikuwa hana kawaida ya kutumia Waholanzi kwenye first 11 yake ukikuta wengi ni 3/4.
Ni changamoto ya timu yetu kukataliwa na kila wachezaji ndio inasababisha hivyo ushawishi hakuna tena
Nataka tu niseme kitu kimoja utafiti wangu unaonesha mashabiki wa United wanaomchukia Ten Hag ni mashabiki wa Ronaldo bado wanaumia namna GOAT wao alivyoshikishwa adabu
So nenda kalie mwehu wewe hama timu kama hutaki kumuona ETH hadi pale atapofukuzwa ndio urudi.
Mashabiki wa United wanaojua mpira wanaelewa impact ya ETH nyie plastic fans kashabikieni rede tu au mfuateni jamaa yenu Al Nassr

Relax mkuu, mashabiki wa United hatupo hivyo.