Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi mpaka muda huu naona kazi kubwa aliyoifanya Jasusi 7Hag tokea ametua Manchester ni kumfurumusha Cristiano Ronaldo tu.
Hivi huyu jasusi wetu kila akiuangalia ule upara wa Pep hua anajisikiaje???
Tunamuomba kuanzia msimu ujao awe anavaa wigi tu maana kwa mpira huu na matokeo haya hana sababu yoyote ya msingi ya kutumalizia nishati ya jua kwenye hio solar panel yake isiyotunza chaji.
Daahh *****😂😂
 
Huyu mwamba aombe timu apewe mwarabu..bila hivyo maisha yake pale ni mafupi zaidi
 
Rebuild imekataa

Rescue mission nayo imekataa

Maisha haya basi..kilichobaki tufe na tai shingoni..

We are Manchester United
 
Huyu mwamba aombe timu apewe mwarabu..bila hivyo maisha yake pale ni mafupi zaidi
Ndio kwanza anawaongezea mikataba wachezaji waovyo
Hata angepewa Mansoor bado Kama kocha Ni kiazi uongoz maandazi mta struggle tu
Si alitumia £200m na zaidi kusajili Nini kimebadilika Hadi sasa
 
Casemiro Eriksen Bruno

Bado hamuwezi kukaa na Mali
Tatizo Ni kocha wenu uwezo mdogo
Uwezo wa vijana wengi ni mdogo mkuu..

Ni kweli majina yanakupa imani ya kufanya kitu ila balance huletwa na timu nzima..kuanzia walinzi hadi washambuliaji..

Kuna kipindi Jose alimtumia Matic, Herrera na Pogba ila alichemka akaamua kumwamini Mkubwa Fella na maisha yakaendelea huku De Gea akiwa shujaa..

De Gea asome nyakati ajiendee kokote akavune mafao..
 
Wolves sio wepes hapa draw

Chelsea mna gemu nae ya 6 sijui hamumfungi akiwawekea kante kova pale Kati anawafungeni au draw

Fulham ,mitrovik atakuwa anarejea Kuna draw hapa au mkashinda pia

Bonamauthi huyu mtampiga

Top 4 ipo mashakani
Wakijitahidi sana wanadroo mechi moja tu,zingine zote watafungwa hawa
 
Uwezo wa vijana wengi ni mdogo mkuu..

Ni kweli majina yanakupa imani ya kufanya kitu ila balance huletwa na timu nzima..kuanzia walinzi hadi washambuliaji..

Kuna kipindi Jose alimtumia Matic, Herrera na Pogba ila alichemka akaamua kumwamini Mkubwa Fella na maisha yakaendelea huku De Gea akiwa shujaa..

De Gea asome nyakati ajiendee kokote akavune mafao..
Kocha wenu hawezi kuchanganua profile za wachezaji hata usajili wake Ni wakubahatisha
Kiungo Cha Casemiro Eriksen na Bruno kimekuwa kinakamatwa mechi kibao hiyo Ni coaching sio uwezo mdogo wa hao wachezaji
Manchester itajikuta inavurunda Kisha kocha anatimuliwa anayekuja anaanza Tena kuwaondoa kina Anthony wa pauni million , kina casemiro ,Eriksen watakaokuwa wamechoka sababu ya umri ,Degea atakayekuwa na mkataba
Mwisho itakuwa marktime
 
Ndio kwanza anawaongezea mikataba wachezaji waovyo
Hata angepewa Mansoor bado Kama kocha Ni kiazi uongoz maandazi mta struggle tu
Si alitumia £200m na zaidi kusajili Nini kimebadilika Hadi sasa
Hili lawama zote kwa upngozi kushindwa kufanya maamuzi mapema..

Frenkie Utd walizingua

Anthony hapa ni wastage of cash and time..hakuna promising super star wa hivo..nimemshuhudia Robinho na hata Luis Nani hawakuwa hovyo hivi pamoja na ubishoo wao

Casemiro ilikua risasi ya mwisho hakukua na namna..

Still ukweli usemwe..nae uwezo ni wa kawaida
 
Timu nne tu zimetufunga goli 2 1 katika mechi nne round ya kwanza lazima GD isingekaa sawa. Overall tumecheza msimu mzima bila striker na timu yetu haicontrol games magoli tunapata ya sandakalawe hiyo goal difference itapenda vipi ?
Utaonekana mbaya ila mechi nyingi Ni good form ya Rashford ndio imemfichia madhaifu kocha wenu
Mashabiki wa Manchester wanajiuliza Kama anapenda mpira wakuanzia nyuma why asijaribu kwa makipa walio benchi? Ni muoga

Kwanini anahangaika kumbakisha Degea ambaye Ni sehemu ya tatizo katika timu
 
utd itazeesha makocha..

Kama alichemka mbishi Jose basi tu wengne watajaribu sana..
 
Wengi wamemdharau Sana Chelsea ila aki turn up usishangae akashinda dhidi ya man u

Fulham ,wolves hawa wanaweza kufanya chochote hata kushinda
Westham leo kacheza kwa kupishana vzr tu na Kiungo Cha Casemiro Eriksen na Bruno
Timu yetu pia ina tatizo la ari ya ushindi na upambanaji..sitoshangaa tukipoteza dhidi yao
 
Back
Top Bottom