Kuna watu watakwambia "wewe na mzungu nani ana akili??"Kocha nae ukitoa sub anazofanya hakuna change of tactics kabisa hovyooo bure kabisa. Huwezi kuwa na watu hawakupi matokeo ukaendelea kuwakumbatia utegemee ufanikiwe hakuna kitu kama hicho.
Hili suala nmelizungumza kabla ya mechi kocha wetu hana plan b, game plan yake ikifeli huoni mabadiliko ya kimbinu anayoyafanya...Kocha nae ukitoa sub anazofanya hakuna change of tactics kabisa hovyooo bure kabisa. Huwezi kuwa na watu hawakupi matokeo ukaendelea kuwakumbatia utegemee ufanikiwe hakuna kitu kama hicho.
Kuna nyumbu wenzio hawatokuelewa, watakwambia "wewe na mzungu nani ana akili??"Hili suala nmelizungumza kabla ya mechi kocha wetu hana plan b, game plan yake ikifeli huoni mabadiliko ya kimbinu anayoyafanya...
Substitution zake hazina manufaa na still bdo anazid kubeba watu ambao hawabebeki km kina antony...
Antony anaicost timu kwakua hachez kitimu anataka kufanya vitu ving kwa wakt mmoja kufurahisha jukwaa...
Mechi ha chelsea lazma tuangushe tena point na top four tushaikosa mpk sasa
Relax Jombaa Top 4 hatuikosi.Katika hizi mechi 4 zilizo salia tukijitahidi sana tunashinda 1, tuna draw 1 Halafu tunagongwa mechi 2.
Man Utd misimu yote ni ileile tu, mabadiliko hua yanakuwepo kwenye jezi tu.
Tumpishe tu Liverpool kwenye nafasi yake maana hamna jinsi. View attachment 2613918

Mna mpango na TOPUFO au mna mgomo baridi?
Bado hajafukuzwa tu?
trust the processMi nilishawahi kuuliza hapa accuracy ya anthony iko wapi maana pass butu vishuti uchwara etcHili suala nmelizungumza kabla ya mechi kocha wetu hana plan b, game plan yake ikifeli huoni mabadiliko ya kimbinu anayoyafanya...
Substitution zake hazina manufaa na still bdo anazid kubeba watu ambao hawabebeki km kina antony...
Antony anaicost timu kwakua hachez kitimu anataka kufanya vitu ving kwa wakt mmoja kufurahisha jukwaa...
Mechi ha chelsea lazma tuangushe tena point na top four tushaikosa mpk sasa
Tunawatamanisha kwanza nyie L'pool ili mtengeneze expectations kubwa halafu mwisho kabisa tupitishe kisu cha shingo.Mna mpango na TOPUFO au mna mgomo baridi?
Anabalance teamMi nilishawahi kuuliza hapa accuracy ya anthony iko wapi maana pass butu vishuti uchwara etc
Mimi mpaka muda huu naona kazi kubwa aliyoifanya Jasusi 7Hag tokea ametua Manchester ni kumfurumusha Cristiano Ronaldo tu.Hili suala nmelizungumza kabla ya mechi kocha wetu hana plan b, game plan yake ikifeli huoni mabadiliko ya kimbinu anayoyafanya...