Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Huyu 7Jagi binafsi nimeanza kua na mashaka nae, kikubwa alichowazidi wengine waliomtangulia ni ile kupewa mamlaka kamili ya kua na amri juu ya wachezaji, ila nje ya hapo tokea amekuja sijaona chochote alichokiongeza kwenye timu.10Hugs alijibu kwa nyodo sana baada ya kile kikombe.
"Kwadrupo" my foot...
Zile Sub zake za kipuuzi anazozirudia mara kwa mara zinanifanya nianze kukosa matumaini juu yake.
Wengi tulimuona ni shujaa/mkombozi kwa sababu tu ya ujasiri wake wa kuwapiga benchi kina Ronaldo na Maguire.
Laiti Liverpool na Chelsea wangekua bora na imara kama misimu miwili iliyopita hata hio top4 tusingeinusa.