Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aendelee kuwaongezea mkataba na hela tu kwa mwendo huu hiyo mechi na man city tugome tu kuingia uwanjani maana itakua ni udhalilishaji wa kufunga msimu sheyyziii
 
Kuna mtu anaweza kuchambua kwanini team yetu inakuwa kama ina homa za kipindi?

Kuna muda ilikaa poa tukamfunga hadi Barca sikuhz naona tia maji tia maji tu.

Sahv nina acha kuangalia game za Man za usku siwez kupoteza mara 2 usingizi na furaha bora nipoteze kimoja wapo.
Kocha wenu Ni wakawaida
 
Mmepigwa chuma dakika ya 27
Ruka mrukavyo mmeshindwa kuchomoa

Sasa huwa mnapata wapi jeuri ya kupiga kelele?
 
Martial kajitahidi sana kwa dakka chache alizocheza tafta mwingine wa kumtupia lawama
Huyo ni mmoja wa wanaotakiwa kuondoka.
images (4).jpeg
 
Katika hizi mechi 4 zilizo salia tukijitahidi sana tunashinda 1, tuna draw 1 Halafu tunagongwa mechi 2.
Man Utd misimu yote ni ileile tu, mabadiliko hua yanakuwepo kwenye jezi tu.
Tumpishe tu Liverpool kwenye nafasi yake maana hamna jinsi.
Screenshot_20230507_230827.jpg
 
Mambo ya mpira magumu mno sometime ndo maana naelewa ni kwanini hamis77 kajificha hataki kujitokeza mafichoni mashabiki ndo tunao pata maumivu aise.
Hahahaa ukiweka ushabiki kando bado nasimama na Ten Hag kajitahidi sana. Ralf Rangnick aliweka wazi timu inahitaji marekebisho makubwa sana ktk kila idara.

Tuna wachezaji wengi sana ila wengi hawana ubora na kama tukiendelea na walau 50% ya wachezaji tulionao itatuchukua muda mrefu sana kushindana kwa kiwango cha juu.

Hofu yangu kubwa ni kuendelea kuongeza miakataba ya wachezaji kama Fred, Degea, Scott n.k sioni umuhimu wa kulazimisha kubaki na wachezaji waliokuwapo ktk projects zaidi ya moja zilizofeli awali.
 
Katika hizi mechi 4 zilizo salia tukijitahidi sana tunashinda 1, tuna draw 1 Halafu tunagongwa mechi 2.
Man Utd misimu yote ni ileile tu, mabadiliko hua yanakuwepo kwenye jezi tu.
Tumpishe tu Liverpool kwenye nafasi yake maana hamna jinsi. View attachment 2613918
kiroho safi acha iwe next season..bora sasa tukose hata hizo conference.. tunateseka mno kwa kina Sevilla
 
Hahahaa ukiweka ushabiki kando bado nasimama na Ten Hag kajitahidi sana. Ralf Rangnick aliweka wazi timu inahitaji marekebisho makubwa sana ktk kila idara.

Tuna wachezaji wengi sana ila wengi hawana ubora na kama tukiendelea na walau 50% ya wachezaji tulionao itatuchukua muda mrefu sana kushindana kwa kiwango cha juu.

Hofu yangu kubwa ni kuendelea kuongeza miakataba ya wachezaji kama Fred, Degea, Scott n.k sioni umuhimu wa kulazimisha kubaki na wachezaji waliokuwapo ktk projects zaidi ya moja zilizofeli awali.
anakufa na tai shingoni..

Dunia haina makocha tena..acha tupite motoni
 
Back
Top Bottom