Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

na kubwa jinga wa wikend ii ni nyumbu makofi kwako tafadhali
Screenshot_20230421-002245.jpg
 
Anakera sn kila shuti analopiga anataka azungushe/apige ndizi.. kuna move za counter nyng anaziua unakuta anapewa mpira tupo kwny counter anatulia kumsubir adui aje ampige chenga
Ndiyo utaelewa kwanini timu kubwa hazimfuati Alan Saint Maximin na Pepe aliondoka Arsenal
 
Mashabiki wa Arsenal mna muandama sana ten Hag..

Ni kweli hayupo daraja moja na kina Pep, Carlo, Jurgen and co..

Lakini ni kocha mzuri kijana anaeibukia..

Manchester United ni timu kubwa na matatizo yake ni makubwa,, ikiwa ni yeye basi itahitaji muda kupata timu nzuri..hii itaambatana na back up ya wamiliki na uongozi kama watabadilika.. bila hivyo nae atafeli na mduara utaendelea..

Chelsea wamekuwa wakipata makombe kwa njia ya kushtukiza.. fukuza huyu, leta yule, weka hamasa mpya, chukua kombe, mduara unaendelea..

Ten Hag bado ni kocha kijana anajifunza.. tunamtakia mabadiliko ya haraka..

Kosa ni kwamba timu aliyopo ina kisuli suli..wala sio uwezo kuwa mdogo..

Kipanga wa UDSM kapekekwa MASSACHUSETTS
Aahh kmmk ten hag ni kijana 🤣🤣🤣

Ujana mwisho miaka mingapi wakuu 🙌🏾🙌🏾
 
Mnaweza kuniambia ubora wa 3+7hag upo kwenye nini?
Au ubaya wa magwaya ni nini?
 
Back
Top Bottom