Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,364
Inawezekana pia mkuuPengine anafanya hivyo kwa kujua maboss wake hawana mpango na usajili
Inawezekana pia mkuuPengine anafanya hivyo kwa kujua maboss wake hawana mpango na usajili
Huyu Antony hana tofauti na ElangaLine up vs WestHam United 4-3-3
David de Gea,
Bissaka Lindelof Maguire Shaw
Casemiro Bruno Eriksen
Antony Rashford Sancho,
🤣🤣
They're competent
Antony huyuhuyu mwenye goli 11 na assist kama zote?? ivi nyie mnaemlalamikia uyu jamaa aliwaibia wake au?
Nawashangaa Sana wabongo. Antony anahold ball, n bahat mbaya kupoteza zipo tu. Hats casemiro, nk wanapotezaga.Antony huyuhuyu mwenye goli 11 na assist kama zote?? ivi nyie mnaemlalamikia uyu jamaa aliwaibia wake au?
New castle anajua akifungwa Leo, Liverpool huyu hapaA must win game,, GGMU
Bora mzuka tu kule ile takataka martial.Weghorst again..
EtH bana..