Mr Mike
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 243
- 539
Anakwenda msimu wake wa pili sasa..huo ndio tutamhukumu uwezo wake vizuri..Kuna tatizo ambalo linafumbiwa macho na halisemwi kabisa UWEZO WA KOCHA
Pamoja na kusema wachezaji wa man u wabovu bado Kuna talent mule kibao , kwa mpira wakuanzia chini bado Kuna wachezaji Kama Shaw ,Lindelof , bado Sancho Ni talent ,ile bajeti angenunua kipa walau angekuwa na Msingi wa anachokitengeneza
Naamini mwisho mashabiki watahoji uwezo wake
EPL Sasa bilia points 90+ hugombei ubingwa
Swala la hakupewa targets zake litakosa nguvu kiasi..uza nunua ama boresha kilichopo..au omba kulinda Wasifu kwa matumizi ya baadae..