Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sir Jim Ratcliffe is proposing a deal that would force the Glazers’ exit after three years should he win the battle for control at #mufc, it has emerged.

James Ducker
 
huyu mpumbavu anachosha wenzake
DEJAN7
De Gea amechangia kutufungisha mechi nyingi sana.

Mechi iliyoniumiza sana msimu huu ni mechi ya Tottenham huwezi kucheza vile katika Premier League.

Kuna makosa mengi sana yanayotokana kubutua mpira hovyo muda wote tunakuwa hatuna mpira kwa sababu ya upuuzi wake.
 
Wakati 10Hag anawasili alikuwa anasisitiza kumiliki mchezo kuliko mpinzani,lakini cha ajabu karibu game zote hasa kipindi cha pili wapinzani wamekuwa wakimiliki wao mchezo na sisi tumekuwa wahangaikaji tu. Hii inaashiria kwamba bado mwalimu hajafikia pale anapotaka timu iwe labda kwa kukosa wachezaji sahihi au mbinu zake hazijakaa vizuri kwenye mafuvu ya wachezaji waliopo.

Bado nina imani na huyu kipara wetu.
Ni kukosa wachezaji sahihi timu nzima wachezaji hawawezi kupiga pass complete hata tatu tu.

Golikipa mwenyewe butuabutua
 
Licha ya form mbovu waliyoionyesha msimu huu, kuna uwezekano wa liverpool kushinda mechi zake zote za viporo alizocheza.

Upande wa manchester united hakuna hata mechi moja ya kiporo aliofanikiwa kupata alama 3.

Leeds united - draw
Crystal palace - draw
Brighton - lose
Tottenham - draw

Hii ndio tofauti yetu na wao na hata manchester city, mechi za kutusogeza mbele tumeshindwa kuzitumia vyema.

Kuna nyakati tulipitwa alama 8 dhidi ya manchester city huku tukiwa na mechi moja pungufu zaidi yao...

Tukatoa suluhu dakika ya mwisho dhidi ya crystal palace.

Mechi inayofuata tukadhalilishwa dhidi ya arsenal kimpira

Mechi ya leeds tukiwa nyumbani nayo ikatishinda.


Nyumbu ni wajinga sana
 
De Gea amechangia kutufungisha mechi nyingi sana.

Mechi iliyoniumiza sana msimu huu ni mechi ya Tottenham huwezi kucheza vile katika Premier League.

Kuna makosa mengi sana yanayotokana kubutua mpira hovyo muda wote tunakuwa hatuna mpira kwa sababu ya upuuzi wake.
Ukiangalia kwa umakini hizo clips za mechi mbili tofauti utagundua kila mechi alipiga takribani goal kick 10 au zaidi zisizofikia walengwa.

Huyu ni kipa wa brighton hapo juzi dhidi yetu
1683409403038.png
 
Hii timu ina ujinga sana. Sasa hivi Rashford anapewa mkataba mpya kwa ile performance na yeye atataka £300k.

Garnacho katoka £7k mpaka £50k per week. Mitoma huko Brighton anachukua £20k.

Martial anachukua £250k 😂
Screenshot_20230507-064510_Brave.jpg
 
Hii timu ina ujinga sana. Sasa hivi Rashford anapewa mkataba mpya kwa ile performance na yeye atataka £300k.

Garnacho katoka £7k mpaka £50k per week. Mitoma huko Brighton anachukua £20k.

Martial anachukua £250k
View attachment 2612766
Ndiyo maana wao hawana shida na hizo glazzer out kwasababu maslahi yao binafsi yanapatikana...... Kingine man u nitimu yenye ushawishi na mashabiki wengi kwahiyo huwezi kulinganisha mshahara wa mitoma na wa nyumbu mmoja mzembe mzembe
 
Ukiangalia kwa umakini hizo clips za mechi mbili tofauti utagundua kila mechi alipiga takribani goal kick 10 au zaidi zisizofikia walengwa.

Huyu ni kipa wa brighton hapo juzi dhidi yetu
View attachment 2612640
Kwenye timu zingine mpira ukiwa kwa golikipa wanaamini wako safe ila kwa De Gea ni tofauti akiwa nao ndiyo mnakuwa kwenye hatari ya kufungwa zaidi.
 
Mara ya kwanza kumona ikay gundogan ilikuwa ni mechi dhidi ya bayern munich.

Nikabaki najiuliza huyu muhindi anatokea wapi?

Baadae nikamuona mechi dhidi ya rwal madrid, usiku ule watu wengi walimzungumzia roberto lewandowski na hatrick yake ila kwangu ilikuwa ni ikay gundogan na udikteta wake eneo la kiungo.

Nilitamani nimuone manchester united lakini ikawa kinyume chake.

Mkataba wa gundogan umebakiza miezi mitatu ndani ya etihad.

Kama ningelikuwa ni mfanyaji maamuzi wa arsenal au manchester united, muda huu ningelikuwa nazungumza na wakala wa gundogan.

Bila ya kujali umri wake.
 
Hii timu ni Man United au One United. Tuanzie hapo. Kuna wakati naona kabisa Ferguson anaiharibu team ...akamchagua Moyes hovyo, wakija walimu KAZI Yao kuuza wachezaji.

Ukikagua mauzo ya wachezaji ni wale wazuri wazuri yakaachwa mapupu.
 
Hii timu ni Man United au One United. Tuanzie hapo. Kuna wakati naona kabisa Ferguson anaiharibu team ...akamchagua Moyes hovyo, wakija walimu KAZI Yao kuuza wachezaji.

Ukikagua mauzo ya wachezaji ni wale wazuri wazuri yakaachwa mapupu.
Kwa miaka 10 hii after ferguson, sidhani kama mauzo ya wachezaji yanafikia hata thamani ya paundi millioni 50.

Manchester united ndio klabu kubwa ya ovyo duniani linapokuja swala la kuuza wachezaji.

Daniel james
James garner
Chris smalling
Daley blind

Hao pekee ndio nakumbuka wameuzwa
 
Kibarua cha Kuirejesha Manchester United juu kimekuwa kigumu sana..

naweka akiba ya maneno ila..Only Pep Can Do That..

Our Ten Hag tutamuonea tu..

huwezi beba ubingwa wa EPL na wachezaji dizaini ya Sancho, Rashford, Antony, and co..

Manchester United inahitaji 5 Worldie kubeba EPL..as of now ni Only Casimiro..ndie World Class Player..


yule bwana hamis77 huwa tunamuona snitch ila kiuhalisia yupo sahihi..

Imagine Manchester United wame spend karibu £250M.. ila mpira bado hauna uelekeo..

Mchukue Rashford mpeleke Real Madrid, Bayern Munich, Manchester City, PSG, tuone atamweka nani benchi?

Safari bado ni ndefu..tuwe na subira..ingawa bila watu sahihi wa usajili safari ni ndefu zaidi..
Ni kweli kabisa, na hili hata EtH kaliongelea before game na Brighton. Sema kila kitu kwa sasa kimesimama kusubiri mmiliki mpya atakuja na vision ipi huoni hata deal la Mcllister tumekwama anaenda zake liverpool ambao ni front runners mpaka sasa na wamewapa Brighton James Millner kama kifungashio 😀
 
Ndiyo maana wao hawana shida na hizo glazzer out kwasababu maslahi yao binafsi yanapatikana...... Kingine man u nitimu yenye ushawishi na mashabiki wengi kwahiyo huwezi kulinganisha mshahara wa mitoma na wa nyumbu mmoja mzembe mzembe
Ni kweli ila inabidi kuwe na salary cap. Maximum mchezaji anayelipwa zaidi iwe £350k. Saka mkataba wake wa kwanza Arsenal alikuwa anachukua £30k, sisi Garnacho tayari anachukua £50k. Sawa hii inaweza kuwa kawaida ila % kubwa wanalipwa pesa nyingi kushinda kile wanachofanya uwanjani.

Inatakiwa tufate nyayo za Barca kwa kuanza na kumtoa De Gea kwenye £375k halafu watafuata Casemiro na Varane mikataba yao ikiisha waondoke. Sancho pekee ndiyo atabaki asiyestahili kulipwa hiyo pesa.
 
Hii project inabidi United wacheze kamari tu kwa kusajili talents zisizo na majina maana kwa hali ilivyo budget yote itaishia kwa wachezaji wawili tu. Kane & De Jong/Caicedo ni £170m tayari.

Kama vipi striker wamchukue hata yule dogo Hojlund maana bila Mwarabu kupewa timu watu watakimbiana pale Carrington. 😁
Na mwarabu analetewa figisu balaa, wafia team wanamtaka mwingereza mwenzao 😀
 
Shukurani Mkuu..

ni kweli timu ina changamoto nyingi ila hatuna mentality sahihi za kibingwa..

Pep aliionesha dunia jinsi mpira wa kisasa unavyoendeshwa..

aliamini katika anachoamini..akaleta vijana wake wakafeli..

nini kilifata?

kina Bravo, Nolito and co..waliondoka..

Muangalie Lottin Mbappe..kuna siku mbaya kazini anazingua, hata dk 85 ila zile tano anaweza kubadili upepo kabisa..

marejeo ni Fainali Vs Argentina..

ukija kwetu MBE akipata goli moja ndio kwanza kawa New Lionel..

mzee Ranginick aliweka wazi matatizo ya timu.. MENTALITY ya kina Antony kuzunguka na mpira hatuwezi shinda ubingwa..

tunawaita watoto..ila Rooney na Ronaldo pale Moscow sijui walikuwa na miaka mingapi..

Manchester United wasipobadilika tutaumia sanaa..

Otherwise Chelsea wafeli katika project yao, Plus Liverpool..

usiwasahau Newcastle..
yupo Cityzen pia na Compact team ya London Babies..
Mkuu unaiona project ya Aston Villa inavosukwa? Wanamchukua director wa Barca anakuja kufanya kazi na Emery. Usiwasahau nao, hapo bado brighton nao ŵana structure nzuri sana
 
Back
Top Bottom