verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Mtambo wa mabao huoUnapomuingiza werghost kwenye mechi unakuwa na dhamira gani?
Wataalamu nisaidieni
Pia ana mikimbio mizuri
Mtambo wa mabao huoUnapomuingiza werghost kwenye mechi unakuwa na dhamira gani?
Wataalamu nisaidieni
Kama ana misimu 2 ilitakiwa aende timu ambayo ina msingi tayari.Kama tuna selfish wingers wakisajili goal poacher ndiyo itakuwa hatari zaidi.
Kane ndiyo complete striker bora duniani. Kigezo cha umri hakina tija, ana misimu 2-3 kukiwasha EPL.
Dirisha la usajili itakuwa vita ya Bayern na United.Kama ana misimu 2 ilitakiwa aende timu ambayo ina msingi tayari.
Hii yenu inayosema inajijenga itamuona mchawi
Kwanini mnamtoa Newcastle? Yeye hawezi kutoa draw au kufungwa angalau moja kati ya hizi?Liverpool ana points 59 na amebakiza mechi 4, kama atashinda zote atamaliza ligi na points 71.
Man Utd ana points 63 na amebakiza mechi 5, katika hizo mechi 5 kama atashinda mechi 3 atamaliza ligi na jumla ya points 72.
Je Liverpool ataweza kushinda mechi zote 4 zilizosalia na Man Utd atashindwa kupata points 9 katika mechi 5 zilizosalia?
Kwenye Soka lolote linawezekana, tusubiri ligi iishe tuanze kuchekana.
Sio mechi moja tu anaweza fungwa hata mechi 2 kati ya hizo, ila yeye tunamtoa kwa sababu walau anaonyesha yupo serious kidogo sio kama sisi wazee wa maji kupwaaa maji kujaaa.Kwanini mnamtoa Newcastle? Yeye hawezi kutoa draw au kufungwa angalau moja kati ya hizi?
1. Vs Arsenal (Home)
2. Vs Leeds (Away)
3. Vs Brighton (Home)
4. Vs Leicester (Away)
5. Vs Chelsea (Home)
Mimi swala la Top 4 sina wasiwasi nalo kabisa labda mpira unishangaze tu.
Kwani sio mchezaji wa man u?Pia nimejiuliza hili swali kwanini anaingia weghost sijapata jibu.
Hii mikimbio yake ilikuwa na manufaa kabla hawajamstukia kuwa hata ukimuachia yeye na goli anakosa,hivyo siku hizi mabeki hawashughuliki naye wanawakaba wachezaji wanaoweza kufunga tu.
Mbona umemsahau Rashford mkuu?Ten hag anapaswa awe na roho ngumu kuleta mataji United.
1. Ajenge morali ya dak 90
2. Nidhamu na ushirikiano kwa wachezaji ndani ya pitch iko Wazi ndani ya box kila mchezaji anataka afunge yeye hasa forward zetu ( martial, rash, na anthony)
3. Asajili wachezaji wafia timu, napendekeza wenye sifa aina ya i) KANE, ii) DE JONG, iii) CHIESA, iv) FIRMPONG na CB na middle no# 10 mmoja...kwa msimu huu kaonyesha mwanga kwa tactics zake na baadhi ya sajili nzur hii ni optimistic about the future....binafsi namuunga mkono na nataka awe serious na kazi tunamtengemea.
NB: awatoe martial, Maguire, elanga, fred, woughost. All the best. GGMU
Hastahili hata kuwa benchi la simba fcKwani sio mchezaji wa man u?
Hyo namba mbili ni tatizo kubwa mno , solution yake ondoa wote wenye majina leta madogo kama Mitoma , alaf ndo ulete striker finisher kama Kane ndo utaona matokeo , Ila hao selfish waliopo Huyo Kane ni Nani boya atakuwa anamlisha afunge yeye alaf wao wasionekane kitu ambacho Ronaldo mwenyewe kilimshinda sababu ya majungu ya hao madogo , kama Kane akija akifikisha magoli 15 kwenye ligi basi ni mwanaume , Antony , Rashford , Sancho , Martial etc wote wanataka wafungeTen hag anapaswa awe na roho ngumu kuleta mataji United.
1. Ajenge morali ya dak 90
2. Nidhamu na ushirikiano kwa wachezaji ndani ya pitch iko Wazi ndani ya box kila mchezaji anataka afunge yeye hasa forward zetu ( martial, rash, na anthony)
3. Asajili wachezaji wafia timu, napendekeza wenye sifa aina ya i) KANE, ii) DE JONG, iii) CHIESA, iv) FIRMPONG na CB na middle no# 10 mmoja...kwa msimu huu kaonyesha mwanga kwa tactics zake na baadhi ya sajili nzur hii ni optimistic about the future....binafsi namuunga mkono na nataka awe serious na kazi tunamtengemea.
NB: awatoe martial, Maguire, elanga, fred, woughost. All the best. GGMU
7 hag kaonesha mwanga gan ambao waliopita hawakuonesha?Ten hag anapaswa awe na roho ngumu kuleta mataji United.
1. Ajenge morali ya dak 90
2. Nidhamu na ushirikiano kwa wachezaji ndani ya pitch iko Wazi ndani ya box kila mchezaji anataka afunge yeye hasa forward zetu ( martial, rash, na anthony)
3. Asajili wachezaji wafia timu, napendekeza wenye sifa aina ya i) KANE, ii) DE JONG, iii) CHIESA, iv) FIRMPONG na CB na middle no# 10 mmoja...kwa msimu huu kaonyesha mwanga kwa tactics zake na baadhi ya sajili nzur hii ni optimistic about the future....binafsi namuunga mkono na nataka awe serious na kazi tunamtengemea.
NB: awatoe martial, Maguire, elanga, fred, woughost. All the best. GGMU
Hapo kwa Kane naomba niendelee kumkataa kwa nguvu zangu zote.Ten hag anapaswa awe na roho ngumu kuleta mataji United.