Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Goal difference ni 9..

Hii inaonyesha ni kiasi gani tumekuwa butu kwenye magoli..
Sema team yetu ni noma inafurahisha
Pamoja na GD ya 9 lakini DDG ndo anaongoza kwa cleansheet

Mechi zilizotucost ni Man city 6-3 liverpool 7-0 brentford 4-0 na nyingine zinazoishia 2-2 kama spurs 3-2 kwa arsenal
 
EtH kikosi cha ubingwa hicho. De Gea ni kiazi. £375k kwa kazi ipi anayofanya!!!?
formation_05_05_2023_ 07_57_04.png
 
Back
Top Bottom