Ni ukweli mchungu.Kweli 10Hag ana kibarua kigumu sana pale united. Leo hii akitokea mwendawazimu mmoja akasema tumuuze Rashford ili nafasi yake achukue Mitoma watu watamshangaa kama walivyokuwa wanakasirika pindi Son akikuzwa dhidi ya Rashford. Kwa sasa tunadanganywa na rekodi ya magoli yake ila jamaa anaiharibu striking force yetu sana tu kwa ajili ya kufukuzia rekodi binafsi. Takwimu ni kitu kingine ila muunganiko wa timu ni suala la msingi zaidi.
United inaharibiwa na media za uingereza pia ila hii damage ingepungua kama tungepunguza hawa kenge wa malkia kwa kiasi cha kutosha. Kwa miaka ya sasa Wingereza wanafaa kucheza nafasi za mabeki wa pembeni kuliko nafasi nyingine zozote ndani ya uwanja.
Kosa la 10Hag liko wapi kama anafundisha timu kutengeneza nafasi za kufunga na timu inafika langoni mwa adui mara kadhaa ila wanashindwa kuweka mpira kambani? Pale mbele ni mashindano ya one man show kati ya Rashford,Martial,Anthony,Garnacho,e.t.c
Sisi na nyie Nani hastahili kucheza Uefa nyie toka kombe la Uefa limeanza mjawai kubeba nyie ndo hamkustahili kwenda.Oyaa nyie nyumbu achieni hiyo top 4 waingie liverkuku. Hamstahili kucheza champions league na sie.
Kibarua cha Kuirejesha Manchester United juu kimekuwa kigumu sana..
naweka akiba ya maneno ila..Only Pep Can Do That..
Our Ten Hag tutamuonea tu..
huwezi beba ubingwa wa EPL na wachezaji dizaini ya Sancho, Rashford, Antony, and co..
Manchester United inahitaji 5 Worldie kubeba EPL..as of now ni Only Casimiro..ndie World Class Player..
yule bwana hamis77 huwa tunamuona snitch ila kiuhalisia yupo sahihi..
Imagine Manchester United wame spend karibu £250M.. ila mpira bado hauna uelekeo..
Mchukue Rashford mpeleke Real Madrid, Bayern Munich, Manchester City, PSG, tuone atamweka nani benchi?
Safari bado ni ndefu..tuwe na subira..ingawa bila watu sahihi wa usajili safari ni ndefu zaidi..


Unaona timu nyingi zinafanya usajili ila United hakuna kinachofanyika.
ETH anaweza vizur sana kama akipata nguvu ya wamiliki Pep mwenyewe hatoboi na wakina Martial mpe heshima ETH
Chaguo la kwanza kabla hajaja lilikuwa Frenkie De Jong ma boss wa wa hii timu waliishia kupiga soga tu sajili zilizokamilika zilikuwa zimebak siku mbili au moja dirisha kufungwa ina maana pre season kocha hakupata machaguo yake mfumo ushaanguka hapo
Pep msimu wa kwanza alipigania top 4 tena city imetimia haswaa kuna David silva, Kdb,Kun Aguero ,Yaya Toure , Raheem Sterling ,Kompany & Fernandinho tena hao ni top player ambao united hamna hata mmoja mwenye uwezo huo kwa kipind kile hivyo bas kapata nguvu ya wamiliki yupo pale
Mwez wa kwanza aliomba striker wakat Martial kaumia hakupata ikabidi kocha aangalie option nyingine ya mkopo wa Wout Weghorst
Eriksen anaumia wanampa mkopo wa Marcel Sabitzer timu gani iliyo serious na mashindano wanafanya huo upuuzi? Manchestet united inang'ang'ana na mikopo tena iliyojifia
Mwezi wa kwanza kulitakiwa kununuliwa striker kisha mwez wa 6 anaongezwa mshambuliaji mwingine sasa mwez wa 6 anaweza kununuliwa mshambuliaji mmoja tu akiumia timu inarudi kwa sancho,rashfotd na martial + antony kocha gan anatoboa?
Pep anamuachia Jesus anamchukua halland
Manchester united wanamuachia Ronaldo wanamchukua Wout Weghorst
Huyo Pep anatoboa?
Kinachotokea sasa ndio makocha wote wazur walikipata chini ya wamiliki wa hii timu
Mourinho alilalamika sana kuhusu usajili kuna watu humu walimponda sana mourinho ila alikuwa sahihi leo tunaona kwa Martial kinachotokea
Wao wanaangalia nani anauza jez sio nani anapiga kazi
Solskjaer alitaka kumsajili Moises Caicedo kwa £4.5 Mwez 12 mwaka 2020 waligoma wakasema hela ni nyingi sasa uliza bei yake na hii kutokana na kutokuwa na jina kipind kile biashara isingeenda kwenye jez
Mpe heshim ETH hata Pep hatoboi chini ya uongozi wa hii timu.
Kweli 10Hag ana kibarua kigumu sana pale united. Leo hii akitokea mwendawazimu mmoja akasema tumuuze Rashford ili nafasi yake achukue Mitoma watu watamshangaa kama walivyokuwa wanakasirika pindi Son akikuzwa dhidi ya Rashford. Kwa sasa tunadanganywa na rekodi ya magoli yake ila jamaa anaiharibu striking force yetu sana tu kwa ajili ya kufukuzia rekodi binafsi. Takwimu ni kitu kingine ila muunganiko wa timu ni suala la msingi zaidi.
United inaharibiwa na media za uingereza pia ila hii damage ingepungua kama tungepunguza hawa kenge wa malkia kwa kiasi cha kutosha. Kwa miaka ya sasa Wingereza wanafaa kucheza nafasi za mabeki wa pembeni kuliko nafasi nyingine zozote ndani ya uwanja.
Kosa la 10Hag liko wapi kama anafundisha timu kutengeneza nafasi za kufunga na timu inafika langoni mwa adui mara kadhaa ila wanashindwa kuweka mpira kambani? Pale mbele ni mashindano ya one man show kati ya Rashford,Martial,Anthony,Garnacho,e.t.c
Namheshimu ETH Mkuu..
kafanya mambo mazuri tu Ajax pale..
But again..kama hatokuwa serious na project yake hatapushana na Solskajear..
Kawanyanyasa Eredivisie wakati ambao PSV, AZ, na Feyenoord wakiwa hou pia..
Sasa yupo mikononi mwa Pilato..
Athibitishe ubora wake..kwa kuwaondoa kina Maguire, Scott, Fred, Dalot and co.
akishindwa basi kulinda heshima ni kuiacha timu au afe na tai shingoni..
hakuna mchezaji wa kibingwa pale,,ukimwondoa Casimiro na Bruno..
Leicester ya Ranieri ilikuwa na Kante, Drinkwater, Okazaki, Mahrezi, Vardy, Huth, Morgan and co..
kwa haraka hapo wengi ni mtu kazi sio wapaka rangi..
hatuwezi shinda ubingwa winga muhimu akiwa ni mwenye assist 3 kwa msimu
Na timu imeyumba baada ya kupata injury za kutosha
Rashford mwenyewe ka drop
Martnez
Varane
Shaw kachangia sana upatikanaji wa magoli kwa sasa hamna tena anacheza namba 5 jambo lililosababishwa na injury alikuwa akicheza vizur sana upande wa kushoto na rashford
Pamoja na yote rashford hanishawishi kama tu ambae tunaweza kumtegemea ktk harakat za kufunga
mimi ni the three LionsStill bado tunacheza kwa moments hata tukiwa timilifu..Na timu imeyumba baada ya kupata injury za kutosha
Rashford mwenyewe ka drop
Martnez
Varane
Shaw kachangia sana upatikanaji wa magoli kwa sasa hamna tena anacheza namba 5 jambo lililosababishwa na injury alikuwa akicheza vizur sana upande wa kushoto na rashford
Pamoja na yote rashford hanishawishi kama tu ambae tunaweza kumtegemea ktk harakat za kufunga
Wakati 10Hag anawasili alikuwa anasisitiza kumiliki mchezo kuliko mpinzani,lakini cha ajabu karibu game zote hasa kipindi cha pili wapinzani wamekuwa wakimiliki wao mchezo na sisi tumekuwa wahangaikaji tu. Hii inaashiria kwamba bado mwalimu hajafikia pale anapotaka timu iwe labda kwa kukosa wachezaji sahihi au mbinu zake hazijakaa vizuri kwenye mafuvu ya wachezaji waliopo.Still bado tunacheza kwa monents hata tukiwa timilifu..
Ile spirit ya kupambana hadi dk 90 haipo..
Ni kweli kuna siku ngumu katika mpira hata kwa timu bora..ila Utd zote tu zinakuwa ngumu..
Tiba kama kweli wapo serious ni kuondoa wazembe wote..
Walichofanya wa CR7 wakifanye na kwa watoto wao
Tuishi kwa Imani..nina hakika hata wao wanaumiza vichwa..Wakati 10Hag anawasili alikuwa anasisitiza kumiliki mchezo kuliko mpinzani,lakini cha ajabu karibu game zote hasa kipindi cha pili wapinzani wamekuwa wakimiliki wao mchezo na sisi tumekuwa wahangaikaji tu. Hii inaashiria kwamba bado mwalimu hajafikia pale anapotaka timu iwe labda kwa kukosa wachezaji sahihi au mbinu zake hazijakaa vizuri kwenye mafuvu ya wachezaji waliopo.
Bado nina imani na huyu kipara wetu.