Mr Mike
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 222
- 466
Jana pekee katengeneza nafasi kama nne za kufunga lakini watu wanabutua tu.
Mwisho nae ni binadamu..akichoka anazoeana na wazembe..
tiba ni kuondoa wazembe..
Jana pekee katengeneza nafasi kama nne za kufunga lakini watu wanabutua tu.
Yes panga linatakiwa lipite kuanzia kwenye beki,Maguire na Varane wauzwe watoke.
Fullbacks Dalot na Brandon William's watoke.
Kwenye midfield, Fred, atoke, striking force ondoa Martial, na Elanga
Goalkeeping De Gea ndiyo chaka la matatizo yetu kwa sasa
Ukweli usemwe tuu majina unatengeneza tatizo , timu zimehama kwenye huo mfumo wa majina , ukileta wachezaji watatu wenye majina hasa safu ya ushambuliaji 80% unaenda kufeli , wengi hujiangalia wao ili washine na wazihirishe Uma kuwa wapo vzuri , hapa Gharama yake ni kuwa timu inakosa muunganiko ,Na mimi naamini sana kwa talents ambao hawana majina
Kila mchezaji mwenye jina wanaomtaka man u dau linaanzia 100 kama wameambiana vile
Si heri ukanunue SonKuna chuma hiki cha ki-Japan "Kyogo Furuhashi" niliangalia mechi moja ya Celtic nikajiuliza kwanini Martial anacheza United?
Market value €9m - €15m.
View attachment 2611399
Hata ukiangalia performance yake inapungua sana kila msimu.Mwisho nae ni binadamu..akichoka anazoeana na wazembe..
tiba ni kuondoa wazembe..
Nafikiri United wachezaji wengi hawauziki kwa sababu ya mishahara mikubwa.Changamoto timu yetu haitofanya lolote..
Martial bado wanamngoja
Scott bado wanamngoja
Maguire atarudia form ya world cup 2018
Fred wa Shaktar bado tunamngoja..
yote ya nini?
uza hata kwa bei pungufu project iendelee..
arsenal waliachana na Ozil plus Aubameyang wakiwa ma-star wa timu ili tu wasiharibu Mentality ya timu
Nafikiri United wachezaji wengi hawauziki kwa sababu ya mishahara mikubwa.
Kingine wanaogopa kuvunja timu nzima kwa msimu mmoja wasijikute wanashuka daraja.
Unaona timu nyingi zinafanya usajili ila United hakuna kinachofanyika.Acha tuone msimu mpya utaanza vipi..kakini tupo taratibu sana..
unafuu wetu wakubwa wenzetu pia jua likawie kuchomoza
Unaona timu nyingi zinafanya usajili ila United hakuna kinachofanyika.Acha tuone msimu mpya utaanza vipi..kakini tupo taratibu sana..
unafuu wetu wakubwa wenzetu pia jua likawie kuchomoza
Ni kweli hiyo yote ni kwasababu Bado team yetu na body kuwa na msimamo juu ya mustakabali wa teamUnaona timu nyingi zinafanya usajili ila United hakuna kinachofanyika.
Hutasikia wakimtaka mchezaji kama huyu unaweza kusikia sahv wanamtaka lukaku tena au pogba kwa 80mil 😀Kuna chuma hiki cha ki-Japan "Kyogo Furuhashi" niliangalia mechi moja ya Celtic nikajiuliza kwanini Martial anacheza United?
Market value €9m - €15m.
View attachment 2611399
Bodi bado haina msimamo au timu bado haieleweki mustakabali wake ?Ni kweli hiyo yote ni kwasababu Bado team yetu na body kuwa na msimamo juu ya mustakabali wa team
Wachezaji pesa nyingi ila hawaoneshi thamani ya pesaUkweli usemwe tuu majina unatengeneza tatizo , timu zimehama kwenye huo mfumo wa majina , ukileta wachezaji watatu wenye majina hasa safu ya ushambuliaji 80% unaenda kufeli , wengi hujiangalia wao ili washine na wazihirishe Uma kuwa wapo vzuri , hapa Gharama yake ni kuwa timu inakosa muunganiko ,
Pale Madrid angalia wale madogo akina Vini , sjui wametokea huko Brazil na hawana selfish hii inafanya Benzema anatupia tuu, angalia Napoli jinsi walivyo na team work , iangalie mancity , angalia hata arsenal, .... Alaf njoo Kwa PSG uone tatizo lilipo, njoo Kwa Man U ....
Solution Man u iuzwe Kwa mwarabu , ili aisuke upya bila pressure ya machawa , na wajuaji , wazoefu wabaki eneo la midfielder tuu, na striker finisher wa maana
Hii timu ina waongeaji Sana pale uingereza , too much know wengi , yaan kocha unaanza kuyumbishwa kabla hata hujaanza kibarua
Rashford hapana, ana kituMbona umemsahau Rashford mkuu?
Nakubaliana, na inafanya tukose magoli mengi na kufanya Goal difference ya 9+Hyo namba mbili ni tatizo kubwa mno , solution yake ondoa wote wenye majina leta madogo kama Mitoma , alaf ndo ulete striker finisher kama Kane ndo utaona matokeo , Ila hao selfish waliopo Huyo Kane ni Nani boya atakuwa anamlisha afunge yeye alaf wao wasionekane kitu ambacho Ronaldo mwenyewe kilimshinda sababu ya majungu ya hao madogo , kama Kane akija akifikisha magoli 15 kwenye ligi basi ni mwanaume , Antony , Rashford , Sancho , Martial etc wote wanataka wafunge
Nachukua Lukaku kiroho safi sio kubaki na Martial au yule tall Werghost. Martial hawezi tena kuimprove atleast Rashford anakaza kaza siku hiziHutasikia wakimtaka mchezaji kama huyu unaweza kusikia sahv wanamtaka lukaku tena au pogba kwa 80mil![]()
Replacement zipi na wakati kocha mwenyewe anaonekana hata jicho la kusajili wachezaji wazuri hanaHuwezi kujenga timu huku ukiwa na mafurushi mengi tu klabuni..
Fagia na fanya replacement ya kweli.