Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ulitaka nani aingie? Tuna squad depth ya aina hiyo unayofikiria?

Yani wachezaji wa United wa uhakika hawafiki 10. Waliobaki takataka wote.
Kwa ufinyu wa kikosi chetu Bruno na Antony ndio wamekua kama Central Bolts ya timu mzima, anapokosekana mmoja wao unaona kabisa gari linalalia upande mmoja.
Kwa shughuli aliyokua anaifanya jana Wan-Bissaka kulikua na sababu gani haswa ya msingi ya kumtoa na kumuingiza Malacia?

Tunaomba Bachelor ll asikilizwe huenda ana hoja ya msingi
 
Huenda kocha ni jasusi kweli.. Haiwezekani kila siku unafanya sub za kipuuzi kama hizi, hivi weghost wa nini hawezi kukuoffer chochote zaidi ya kukimbia tu si bora hata aingie peri awapush tunaweza ambulia kitu.

Nachoona huyu utaifa sijui unamponza yani dah mechi tunapoteza kizembe kabisa, wachezaji nao wahedi goli 2 hawakabi wanatembea tu wameridhika sioni kama hilo linafanyiwa kazi.
Kipara mdomo mwingiiii timu hakuna kitu.

Kiuhalisia kabisa Ni labda kocha au timu mmoja ana bahati msimu huu ila kiukweli mechi nyingi tulipaswa kufungwa kabisa.
Za ndani ndani kabisa 7Jagi ni mtoto wa dadake Luis Van Ugali, hivyo Van Ugali ni mjomba wake kabisa Majagi7.
Anachofanya Majagi7 ni kulipa kisasi cha mjomba wake.
Hakika Bachelor ll ni jasusi mbobezi asikilizwe maana anawajua double Agents wote wa hapo Old Trafford
 
First halaf jana vijana walicheza kwa spirit sana. Second half majanga matupu,takataka kabisa. WB jana alitakata sana,SUB yake haikuwa ya ulazima.
Faza Martial anaendelea kuprove kwamba hatufai,ule mzimu nao ni kama jina lake tu.
Antony pia alifanya na anafanya kazi nzuri.
Fred naona anahitaji kupewa training yake pekee yake kama alivyofanyiwa Sancho.
 
Mimi fred sijawahi mkubali kabisa ukiacha hiyo kukaba mle hamna mchezaji yani kiungo hawezi kupiga pasi, hawezi kushoot hawezi kudribble yupo tu eeeh kufika level ya city Bado sanaa. Fred hata kikosi cha pili pale city hatoboi.
 
Manchester United is playing today and whole world is happy

Prediction

Tottenham 0 vs Manchester United 3

4:15 night

White Hart Lane

Last match

Manchester United 2 vs Tottenham 0

Pigaaaaa
Uaaaaaaaa
Malizaaaaaa
Chinjaaaaaaa

Kama unaona Tottenham hatashinda mbetie hela ya mtaji.

GGMU View attachment 2601471
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Wakuu naomba Bachelor ll asikilizwe huenda ana hoja za msingi juu ya 10hangaya
Waziri mkuu wa Netherlands bwana Mark Rutte amemuandikia barua ya kumshukuru na kumpongeza 7hag kwa juhudi zake za kuisaidia serikali ya Uholanzi katika kupambana kupunguza gape la unemployment katika nchi yake.
7Hag amefurahishwa na pongezi hizo na kumhakikishia waziri mkuu kwamba wako bega kwa bega katika kupambania maslahi ya nchi yao.
7Hag amemuondoa wasiwasi na kumuahidi waziri mkuu ya kwamba kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya Netherlands kitakacho shiriki kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2026 kitatokea hapohapo kwenye dimba la Old Trafford.
Erick Ten Hag amemuelezea bwana Mark Rutte mipango yake ya usajili katika dirisha kubwa linalofata ni kuwauza kina Bruno Fernandes, Marcus Rashford, Alejandro Garnacho, Luka Shaw pamoja na Fercundo Pellistri kisha asajili vijana machachari kabisa toka Uholanzi wanao kipiga kwenye league bora kabisa duniani Eredivisie league.
 
Za ndani ndani kabisa 7Jagi ni mtoto wa dadake Luis Van Ugali, hivyo Van Ugali ni mjomba wake kabisa Majagi7.
Anachofanya Majagi7 ni kulipa kisasi cha mjomba wake.
Hakika Bachelor ll ni jasusi mbobezi asikilizwe maana anawajua double Agents wote wa hapo Old Trafford
Operation ni kuifilisi MANCHESTER United
 
Kamtoa sancho kamuingiza martial,
Baadae kidogo kamtoa anthony then amemuingiza werghost.

Wazembe wawili wanakwenda kuongoza safu ya ushambuliaji.

Unajiuliza huyu kocha ni mzima kweli
Unamtoa AWB unamwingiza Malacia..

Huu si ni ujinga mtupu??..

Kocha ametukosti mara kibao tu na sub zake za kijinga..

Unamwingiza Ngongoti Werghost asiyeweza hata kutoa pass then unamtoa Sancho..

Ujinga mtupu..
 
Waziri mkuu wa Netherlands bwana Mark Rutte amemuandikia barua ya kumshukuru na kumpongeza 7hag kwa juhudi zake za kuisaidia serikali ya Uholanzi katika kupambana kupunguza gape la unemployment katika nchi yake.
7Hag amefurahishwa na pongezi hizo na kumhakikishia waziri mkuu kwamba wako bega kwa bega katika kupambania maslahi ya nchi yao.
7Hag amemuondoa wasiwasi na kumuahidi waziri mkuu ya kwamba kikosi cha kwanza cha timu ya taifa ya Netherlands kitakacho shiriki kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka 2026 kitatokea hapohapo kwenye dimba la Old Trafford.
Erick Ten Hag amemuelezea bwana Mark Rutte mipango yake ya usajili katika dirisha kubwa linalofata ni kuwauza kina Bruno Fernandes, Marcus Rashford, Alejandro Garnacho, Luka Shaw pamoja na Fercundo Pellistri kisha asajili vijana machachari kabisa toka Uholanzi wanao kipiga kwenye league bora kabisa duniani Eredivisie league.
dah we jamaaa umeua
 
Unamtoa AWB unamwingiza Malacia..

Huu si ni ujinga mtupu??..

Kocha ametukosti mara kibao tu na sub zake za kijinga..

Unamwingiza Ngongoti Werghost asiyeweza hata kutoa pass then unamtoa Sancho..

Ujinga mtupu..
Hizi hapa super sub za jasusi, stafeli na topetope lake zikipongezana kwa kufanikisha kutoka draw dhidi ya Spurs.
Screenshot_20230428-151122.jpg
 
Harry Kane when asked about Man Utd fans chanting ‘We'll see you in June’

“I heard what they were saying but I'm just focussed on this team — and trying to finish strongly”.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230428_211849_971.jpg
 
Back
Top Bottom