Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,333
- 33,718
Glazers hawataki kuachia timu otherwise wangeshauza muda mrefu tu.Niliiona hii mkuu, hata wakiuza Class B share, Assume Wameuza Ineos 51% Glazzer wanabaki na 20 ama 30% halafu siku Ineos wakakumbwa na ukata wakauza Asilimia kadhaa then huyo alieuziwa naye akawa na akili kama Glazzer hayo ni majanga tayari, tunarudi kama Arsenal Zamani.