Goli 1 halina dhamana sijui kwann wachezaji hawana njaa ya magoli inakera sana
Sijui kwanini sitaki Kane ajiunge na man United.Duh tunaitaji striker tunaitaji striker ukiangalia kwa timu za top 4 sisi ndo hatujafunga goal nyingi.
Kane ndo best option kwa sasa mkuu na ni mzoefu wa ligi.Sijui kwanini sitaki Kane ajiunge na man United.
Nikiangalia umri na fedha watakayotaka Spurs nadhani tungetafuta option nyingine.
Kane ndo best option kwa sasa mkuu na ni mzoefu wa ligi.
Na mfumo wa saizi unaitaji striker Aina ya Kane mwenye uwezo wa kucheza kama namba 10.
Timu laini sana hii sema kocha alizingua sana siku ileSpurs ni wepesi mno, nasikitika tulikosa point 3 zao. Dk ya 6 wameshapigwa 2 tayari, Liverfool atajipitia sifa za bure hapa.
Martial amekuja hapo Manchester hakiwa na miaka 21 tu Mpaka leo katufanyia nini cha maana ni heli tupate Kane tumtumie hata misimu mitatu au minne tu.Heshima sana,
Bora leo tumeshinda tunaweza kujadiliana pasipo bugudha.
Nakubaliana na wewe Kane ni Bonge la striker lakini ule UK wake unampandisha sana bei bila kusahau Chairman wa Spurs ni mtu wa vurugu nyingi katika masuala ya usajili.
Nadhani ni muda muafaka sasa tukajenga Team ya kesho na keshokutwa.
Ningependa sana kama tungempata mshambuliaji wa kati ya miaka 20 to 26.Mshambuliaji wa umri huu unaweza kukaa naye hata miaka 10 na bado ukamuuza.Ukimchukua leo Kane huwezi ku muuza tena ana miaka 3 hadi 5 tu.
Usisahau Ronaldo alikuja akiwa na miaka mingapi.Martial amekuja hapo Manchester hakiwa na miaka 21 tu Mpaka leo katufanyia nini cha maana ni heli tupate Kane tumtumie hata misimu mitatu au minne tu.
Wanataka Hela nyingi, jinsi wanavyosubiria ndio jinsi watu wanakuwa desperate kutoa hela Nyingi.Glazers hawataki kuachia timu otherwise wangeshauza muda mrefu tu.
Naona kununuliwa kwa Kane kunapigiwa chapuo na vyombo vya habari vya Uingereza zaidi kuliko mahitaji halisi ya kocha.Sijui kwanini sitaki Kane ajiunge na man United.
Nikiangalia umri na fedha watakayotaka Spurs nadhani tungetafuta option nyingine.