Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeona goli la pili alivyowasetia spurs ?
Kipindi cha pili ni timu nzima imepoteana unategemea De Gea atafanya nini zaidi ya kubutua tu bora liende?
Sawa tunakubali De Gea ni mbovu sana tu kwenye kuanzisha mpira nyuma na hajui hata kupiga pasi ila leo amefanya saves ngapi za magoli ya hatari mbona haujampongeza?
Shida ni Sub za kis3nge za huyo jasusi wetu wala haina haja ya kumtafuta mchawi mwingine.
 
Huenda kocha ni jasusi kweli.. Haiwezekani kila siku unafanya sub za kipuuzi kama hizi, hivi weghost wa nini hawezi kukuoffer chochote zaidi ya kukimbia tu si bora hata aingie peri awapush tunaweza ambulia kitu.

Nachoona huyu utaifa sijui unamponza yani dah mechi tunapoteza kizembe kabisa, wachezaji nao wahedi goli 2 hawakabi wanatembea tu wameridhika sioni kama hilo linafanyiwa kazi.
Kipara mdomo mwingiiii timu hakuna kitu.

Kiuhalisia kabisa Ni labda kocha au timu mmoja ana bahati msimu huu ila kiukweli mechi nyingi tulipaswa kufungwa kabisa.
 
Nachoona huyu utaifa sijui unamponza yani dah mechi tunapoteza kizembe kabisa, wachezaji nao wahedi goli 2 hawakabi wanatembea tu wameridhika sioni kama hilo linafanyiwa kazi.
Wachezaji ni kama vile wanachagua mechi na dakika za kucheza kwa hamasa.

Ugonjwa kama huo huwezi kuushuhudia manchester city
 
Ten Hag game ikiwa inaendelea huwa dishi linayumba anapoteza uelekeo, haelewi afanye Nini, disgusting..[emoji2961]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa shughuli aliyokua anaifanya WB leo hata kama kocha angekua ni Muzamilu asingethubutu kumtoa.
Unamtoa Antony unamuingiza Weghorst kisha tena unamtoa Sancho unamuweka Martial huyu mzee hio leseni yake ya ukocha inabidi ikaguliwe na CAG.
 
10hag kwenye sab ni Mgunda mtupu😤
 
[emoji28][emoji28]
1169778290.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu majagi7 kila mechi anarudia sub zake za kijingajinga yaani hata hajifunzi, ndio maana Bachelor ll amemuingiza kwenye list yake ya Majasusi.
Ulitaka nani aingie? Tuna squad depth ya aina hiyo unayofikiria?

Yani wachezaji wa United wa uhakika hawafiki 10. Waliobaki takataka wote.
 
Mabadiliko ya sancho yanapaswa kuwa kwa garnacho tu, kama hayupo mmoja wao hao wengine waendelee kuwa benchi.

Kinyume na hapo unatuingizia watumishi hewa uwanjani, hawa kina martial na elanga

Kipara anazingua.
Dawa ni kuwaondoa hao watumishi hewa na kuleta majembe.

As long as bado wapo, utaendelea kuwaona uwanjani manake hakuna mbadala.
 
Ulitaka nani aingie? Tuna squad depth ya aina hiyo unayofikiria?

Yani wachezaji wa United wa uhakika hawafiki 10. Waliobaki takataka wote.
Kwa ufinyu wa kikosi chetu Bruno na Antony ndio wamekua kama Central Bolts ya timu mzima, anapokosekana mmoja wao unaona kabisa gari linalalia upande mmoja.
Kwa shughuli aliyokua anaifanya jana Wan-Bissaka kulikua na sababu gani haswa ya msingi ya kumtoa na kumuingiza Malacia?

Tunaomba Bachelor ll asikilizwe huenda ana hoja ya msingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom