radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,291
Kua declared means imetazamwa kwa mtazamo wa kisheria so unaweza kuta sheria imeazimia hivyo but in real world jamaa bado yupo sawa.
Tena zaidi ya wajinga aisee...Ila nyumbu ni wajinga sana
Noma
Sikumbuki matokeo ya Man U kufungwa ila nakumbuka haya
Kwenye Table mpo wapi ?
Mnaongoza ligi au ndio mwapambania kucheza UCL?
Unapigwa bomba tatu na umesimama hivi na huna la kufanya [emoji849][emoji52][emoji23]