Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa ww unatesekw kwa lipi hapo kupigwa kwao? Kuna hata mia yako umetoa pale?

Hiyo miaka imekusaidia nini ikiwa wapo chini ya 24? Hadi muda huu arsenal hana chochote hebu weka mezani hiyo faida ya 24 halafu hasara ya 30?
3-0
FB_IMG_1682087484923.jpg
 
Huoni Aibu kuongelea Carabao

Arteta with £0m alibeba FA & CS

7 Hag with €250m , Carabao

Sasa kama timu haina hela za kumpa ulitaka wampe mawe? Mbona huna logic hapa kutokusajili sio tatizo letu wala la kocha ni ubahili wa timu yako
 
Nimeamin kwann Pogba alisema Mashabiki wengi wa Manjesta hawajui mpira


UNAMTETEA ANTHONY?

Ulimtetea Sancho,Magwaya hukomi tu

Kwani pogba ndio injini ya kichwa changu kumbe nyie akili zenu zimenaswa na wachezaj wa arsenal wakisema vua nguo mpigane miti mnafanya
 
Kwenye Table mpo wapi ?

Mnaongoza ligi au ndio mwapambania kucheza UCL?

Hilo swali mbona la kichovu yaani hujui hadi muda huu kama timu yako nayo ipo kwenye harakati za kupigania kucheza uefa? Timu yenyewe haina uhakika wa kubeba kombe unapiga kelele tu hapa
 
Back
Top Bottom