UTAPELI WA 7 HAG KWA FAMILIA YA MAREHEMU GRAZA
7hag : Nataka kupress ,kucheza mpira mzuri Ni project ya muda mrefu
GRAZA FAMILY: Haya chukua €250m za usajili, tunakupa na nguvu ya maamuzi kwenye Usajili
Alichofanya 7 hag Sasa
Casemiro miaka 32 ,€70m
Anthony (average player /championship material) kwa €100m
Malacia (average player mwenye mentality za championship)
Werghost (average player ambaye hata championship Burney hakufaa)
HALAFU KUNA MASHABIKI UCHWARA WANAKWAMBIA SUBIRI MSIMU UJAO APEWE WATU ANAOWATAKA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
make kwanza Nicheke
View attachment 2595279