Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,289
- 37,702
Mungu mkubwa kila nikimwona kwenye start eleven moyo unakwenda mbio.Maguire achezi Leo ana kadi ya njano.
Mungu mkubwa kila nikimwona kwenye start eleven moyo unakwenda mbio.Maguire achezi Leo ana kadi ya njano.


Anakufa tatu bila leo
nawaona vijana waleeeee fainali
Trust the process



12:30 jioni
Wembley


Hivi Magure hata tukiweka sokoni kuna Timu zitanunua kweli? Beki kila siku linachoma hili.Injuries za defenders wetu na ujio wa Lindelof & Maguire ni sababu kubwa Team kupoteza muelekeo.
New season lazima tusajili center back 2 ,lazima tusajili viungo 2 wa viwango vya juu.
Team lazima iondokane na wachezaji wabovu wafuatao.
1. Mangure
2. Dalot
3. Jones
4. Fred
5. Mactomary
6. Sancho
8. Martial
9. Elanga
Man u Ndio timu pekee duniani inayoweza kufuga matakataka na kuyalipa pesa ndefu.Scott McTominay is NOT on the list of players the club are actively looking to sell, but his future will depend on what happens this summer.
Maguire na De Gea wamegeuka kuwa changamoto kubwa sana kwetu.Maguire hawezi kucheza mchezo wa leo, amekuwa suspended
Mnatamani ashinde 8 ili 7 zenu zionekane kitu cha kawaida tu, si ndio?
Kila kocha mpya hua anakuja na falsafa yake pia hao Ajax wameuza wachezaji wangapi tegemezi kwenye kikosi chao cha kwanza?Kuna watu walikuwa wanasema EtH ni kocha wa kawaida tu kwasababu ligi aliyotoka kocha yoyote akipewa Ajax anabeba ligi.
Leo Ajax wanapokea kipigo kizito kutoka kwa PSV na huenda wakakosa Champions League msimu ujao.
Hiyo ni tofauti ya mwaka mmoja tu tayari Ajax wamepoteana.
Leo mpo na wazee wa build up kuanzia chini mtachomoka kweliKila kocha mpya hua anakuja na falsafa yake pia hao Ajax wameuza wachezaji wangapi tegemezi kwenye kikosi chao cha kwanza?