Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nasubiri kituko Cha usajili wa kipa mpya ndani ya manjesta

7 hag alivyo mzee wa kusajili maboko tutegemee kuletwa Kipa pazia


Kufikia December, 7 hag atakuwa anachezea vipigo vya aibu

7-0

6-0
 
Odd 1.02

Mgawaya asipojifunga goli Jumapili

Wasafi bet
FB_IMG_1682087484923.jpg
 
TUNAKUMBUSHANA TU

THAMAN YA KOMBE LA CARABAO

NI £100k sawa na Million Kama 250 za kitanzania

NBC premier league Million 500 plus Million 500 TV rights (Jumla 1Billions)
IMG_20230421_183100.jpg
 
TUNAKUMBUSHANA TU

THAMAN YA KOMBE LA CARABAO

NI £100k sawa na Million Kama 250 za kitanzania

NBC premier league Million 500 plus Million 500 TV rights (Jumla 1Billions)View attachment 2595343
Hivi huwa unasoma na kuelewa unachokiandika?

2021/22 Manchester United imekusanya €689m kwenye mapato na haikubeba kombe lolote.

Leta hoja nyingine.
 
Henderson
Williams
Telles
Bissaka
Mejbri
Bailly
Jones
Tuanzebe
Sancho
Martial
Maguire
Lindelöf
McTominay
Fred
Elanga
van de Beek
Weghorst
Sabitzer

Hizo zote ni takataka
Nakubaliana na wewe kwa 99% kasoro kwa Sabitzer pekee, jamaa yuko vzr kwenye kufunga tumpe muda ni namba 10 mzr waliobaki wote ni takataka plus Rashidi.
 
Scott McTominay is NOT on the list of players the club are actively looking to sell, but his future will depend on what happens this summer.
 
Xhaka na patei wana 25 et? kuna yule katoka chelsea yupo na 20?

Kama unaona antony kafeli hujui mpira
Hivi hao wamesajiliwa wakiwa wazee wa pensheni?

Arsenal ina average ya umri miaka 24
 
Sawa kweli yule wa chelsea yupo kwenye 24 upo sahihi hata patei alikuja akiwa na 20
Hatukuwasajili wakiwa na 30 Kama nyie ,

Kaangalie average ya miaka ya Arsenal na manjesta


Unamtetea Anthony ,hata Sancho ulikuwa unamtetea hivi hivi

Anthony mmepigwa

Kocha pale huna
 
Back
Top Bottom