Maguire ni jasusi wa Man City operation ni kuhakikisha UTD hawapati kombe ndio maana City walitutega kama wanamtaka Maguire ila Man U waingie chaka na walivyopanda dau tu wakakimbia.Maguire kisiki ukuta wa Berlin mitano tena
Elanga winga teleza anapiga klosi dongo matata saana apewe mkataba wa maisha
Mmeshinda njaa sasa au sebuleniManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Sevilla 1 vs Manchester United 2
[emoji355]Time
4:00 usiku
[emoji2522] venue
Ramòn Pizjuàn
Last match
Manchester United 2 vs Sevilla 2
Cha ajabu tutao shinda ni man u ila wataumia mashabiki wa Arsenyani.
Kauli ni moja tu.
Pigaaaa
Uaaaaa
Chinjaaa
Malizaaaa [emoji16][emoji16]
GGMU [emoji83] [emoji83][emoji83]View attachment 2594136
Ewaaa dunia nzima inafurahaa 🤣🤣🤣🤣Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Sevilla 1 vs Manchester United 2
[emoji355]Time
4:00 usiku
[emoji2522] venue
Ramòn Pizjuàn
Last match
Manchester United 2 vs Sevilla 2
Cha ajabu tutao shinda ni man u ila wataumia mashabiki wa Arsenyani.
Kauli ni moja tu.
Pigaaaa
Uaaaaa
Chinjaaa
Malizaaaa [emoji16][emoji16]
GGMU [emoji83] [emoji83][emoji83]View attachment 2594136
Maguire mmoja ni sawa na vidic 3 Evra 5 Ferdinand 7 na Rafael 9
Kamanda nimekuomba link ile unayotumua kuangalia mechiKuna nyumbu mmoja anakaa kutabiri magoli
This is for you nyumbu wewe
Ni kweli7 hag kocha wa kawaida Sana anapambwa na media tu hasa za UK