verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Mwakani yuropa tena manyumbu
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatoshi kuwa man uTen jag kocha wa kawaida Sana
Manyumbu united= mzigo wa mavi
Chelsea mbovu ila sio kwa dortmond , Sevilla , Juventus , Roma na Europa team angekufa naoJuzi TU Hapa,
Kipofu alimcheka kiziwi[emoji38]View attachment 2594607
[emoji1][emoji1][emoji1]Nyumbu FLANO,ARV na nyinginezo ZIMEKANDWA chuma Tatu swaaaaaafi kabisa [emoji1][emoji1][emoji1]hakika Sikukuu yangu ya Eid itakuwa njema na yenye utulivu na amani kubwa[emoji1][emoji1][emoji1]Manyumbu united= mzigo wa mavi
Chuma Tatu swaaaaaafi [emoji1]yaani Paketi nzima ya DUME imetumika,punguzeni midomo NyumbuHuyu 7Hag anazarau za kishamba sana.
Hii mechi tulikua tumeisha imaliza Old Trafford ila zile Sub zake za kisenge ndio zimetufikisha hapa tulipo.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Manyumbu united= mzigo wa mavi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TOA SANCHO..TOA MARTIAL na wasianze mechi yoyote ya United pumbaf zao. WEKA RASHFORD na PELISTRI boli litembee.
TOA MAGUIRE, TOA DALOT weka SHAW na MALACIA.
TOA ERICKSON mpira una kasi sana hawezi hii kasi, WEKA FRED
Yule ni dalali wa Ajax tu sio kocha10 Hang kwanini uwa aanzishi full kikosi? Game ya leo hii kweli ilikuwa ya kumuweka Shaw na Rashid nje mpaka kipindi cha pili?
Maguire kisiki ukuta wa Berlin mitano tenaTuna wachezaji wengi ambao viwango vyao ni kupwa na kujaa kwa maji na aliyeiharibu Man U ni sosha kwa kujaza michezaji ya kiingereza
Maguire
Bissaka
Martial
Tommy
Elanga
Fred
Werghost asipewe mkataba
Sancho apelekwe kwa mkopo timu yoyote
Degae next season awe golikipa namba 2
Bora Eric Baily sio maguire
Hizi umbwa bado zimelala zina raha gani hizi kenge maji.[emoji1][emoji1][emoji1]Nyumbu FLANO,ARV na nyinginezo ZIMEKANDWA chuma Tatu swaaaaaafi kabisa [emoji1][emoji1][emoji1]hakika Sikukuu yangu ya Eid itakuwa njema na yenye utulivu na amani kubwa[emoji1][emoji1][emoji1]
Operation ni kuifilisi MANCHESTER UnitedHuyu 7Hag anazarau za kishamba sana.
Hii mechi tulikua tumeisha imaliza Old Trafford ila zile Sub zake za kisenge ndio zimetufikisha hapa tulipo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]