Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Vya mjinga huliwa na mwelevu Ten Hag akula vya wajinga MANCHESTER United
Kama jasusi na dalali wa Ajax Eric ten hag atamuanzisha captain Maguire kisiki ukuta wa Berlin hakika mtashindaMungu na awe upande wetu leo. Hii mechi tukitolewa itaniuma sana kushinda mechi ya 7 - 0. Tumefika hatua ambayo sisi ndiyo favourites wa kubeba UEL. Sevilla wameshatuonea sana kwenye UCL & UEL leo ndiyo siku ya kulipa kisasi na kuwaonjesha dawa yao wenyewe.
#GGMU [emoji120]
Hovyo sanaKuna virusi viko humu vinaharibu sana uzi wetu
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Sevilla 1 vs Manchester United 2
[emoji355]Time
4:00 usiku
[emoji2522] venue
Ramòn Pizjuàn
Last match
Manchester United 2 vs Sevilla 2
Cha ajabu tutao shinda ni man u ila wataumia mashabiki wa Arsenyani.
Kauli ni moja tu.
Pigaaaa
Uaaaaa
Chinjaaa
Malizaaaa [emoji16][emoji16]
GGMU [emoji83] [emoji83][emoji83]View attachment 2594136