[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mungu na awe upande wetu leo. Hii mechi tukitolewa itaniuma sana kushinda mechi ya 7 - 0. Tumefika hatua ambayo sisi ndiyo favourites wa kubeba UEL. Sevilla wameshatuonea sana kwenye UCL & UEL leo ndiyo siku ya kulipa kisasi na kuwaonjesha dawa yao wenyewe.
#GGMU [emoji120]
Hahahah! Ulikuwa unasubiri United tufungwe ndo urudi.7 hag anatengeneza Project [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Casemiro miaka 31
Eriksen miaka 32
Anthony kupigwa kwa €100m
Degea kuongezewa mkataba mrefu
Malacia Average player
PROJECT UCHWARA HII
Nyie kufungwa mmezoea ,si mna kocha wakawaidaHahahah! Ulikuwa unasubiri United tufungwe ndo urudi.
Kocha UWEZO mdogoBinafsi kwa kikosi chetu sioni matumaini kabisa 10hag asipofanya usajili wa maana na kuuza takataka zake hizo tutabaki hivi hivi.