Apewe sasa hivi awe kocha mchezaji kama Ryan GigsKweli nimeamini maneno yako Magu-waya ni ukuta wa Berlin ikiwezekana mkataba wa maisha na akistaafu kucheza mpira apewe ukocha kabisa hapo Man Utd.
Tumepigwa hadharani.Huyo weghorst hajui mpira

Wakishampa iweje sasaHiyo Faulo wampe rashid