Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nadhani Man utd inaonesha moja ya madhara ya timu kumilikiwa na watu binafsi. Timu kubwa sana, ina mashabiki wengi duniani kote, historia kubwa ila ina average players kibao. Kwani madrid wanatushinda wapi? Wangekuwa wanaacha tu kushabikia timu ningeasha zamani sana kushabikia hii timu. Ila ni ngumu.
 
Ukiona mtu kajib mambo ya kipuuz ww usiangaike kumQuote.. KumQuote kwako sisi tuliye muIgnore tunafny tuone ujinga wake.. Ww achana nae weka ignore list tuendelee na kujadili mpr kwa utan na sio matusi ya hawa watt wa ovyo.

N.B:leo man u mnaweza wapa vijana wa Pressing n overloading haueni naona kbs kwa mnavocheza kaz mnayo.
 
🙌🙌🙌🙌🙌🙌 auzwe tu
 
Attachments

  • 20230420_225918.jpg
    20230420_225918.jpg
    88.8 KB · Views: 11
Nadhani Man utd inaonesha moja ya madhara ya timu kumilikiwa na watu binafsi. Timu kubwa sana, ina mashabiki wengi duniani kote, historia kubwa ila ina average players kibao. Kwani madrid wanatushinda wapi? Wangekuwa wanaacha tu kushabikia timu ningeasha zamani sana kushabikia hii timu. Ila ni ngumu.
Ngoja tuone kama ni kweli watawaweka sokoni wachezaji 11 kama kocha alivyosema ili aweze kusajili
 
TOA SANCHO..TOA MARTIAL na wasianze mechi yoyote ya United pumbaf zao. WEKA RASHFORD na PELISTRI boli litembee.

TOA MAGUIRE, TOA DALOT weka SHAW na MALACIA.

TOA ERICKSON mpira una kasi sana hawezi hii kasi, WEKA FRED
 
Back
Top Bottom