Kujiita shetani mwekunduSijui tumemkosea nini mungu

Tumeshapoa ngoja turudi kupambania EPL na FA yasituponyokePoleni sana kwa kipigo man utd













manyumbu bana yamerogwaEPL ipi tena mkuu? Au nafasi ya 4Tumeshapoa ngoja turudi kupambania EPL na FA yasituponyoke
Nahitaji ile link unayoangalia mpira live streamingDah ila nyumbu ni wajinga sana
Tumebana wapi?Heeheeheee wamebana wameachia, tatu bila tatu bila tatu bilaaa, wamebana wameachiaa
English premier league huku Europe tumejitoa ili tu-focus na EPL na FA tuEPL ipi tena mkuu? Au nafasi ya 4
😂 aisee mtashinda tu ongezeni bidiiEnglish premier league huku Europe tumejitoa ili tu-focus na EPL na FA tu