Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ndugu wa damu hawa 😂
1682024848791.jpg
 
Tuna wachezaji wengi ambao viwango vyao ni kupwa na kujaa kwa maji na aliyeiharibu Man U ni sosha kwa kujaza michezaji ya kiingereza

Maguire
Bissaka
Martial
Tommy
Elanga
Fred
Werghost asipewe mkataba
Sancho apelekwe kwa mkopo timu yoyote
Degae next season awe golikipa namba 2

Bora Eric Baily sio maguire
Tema mate kwa AWB
 
Yani hii game Sevilla walivyokuwa wanaitaka, mda wote wanakimbia. Wachezaji wa unyumbuni lazima wakalale na viatu Leo. Alaf hapo J2 mna Brighton, mbona kazi mnayo
Sio hii ata pale OT walipeleka moto sio haba nikajisemea tu kwa Injury hizi tukienda kwao sidhani kama kuna kutoka salama
 
Sijawahi kumpenda wan bissaka na tokea siku ya kwanza kusajiliwa kwake nilikuwa wa kwanza kupinga usajili wake humu ndani.

Hata hivyo naiona dalili ya kwenda kufanya kosa kubwa sana la kimaamuzi kwa klabu,

  • ni kosa kumpa mkataba mpya dalot diogo na kumuuza wan bissaka
  • Diogo dalot hana sifa ya kupewa mkataba mpya
  • Ni sahihi kuwauza wote wawili na kutafuta fullback mwengine
  • Pia ni sahihi kutafuta fullback mwengine na wakati huo huo tukambakisha wan bissaka.

Muda ndiye mwalimu mzuri wa maamuzi na mawazo
 
Back
Top Bottom