Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
Lini MANCHESTER United kawa on top ?yaani shangwe imezidi baada ya hawa watoto wa pompey kuwabania hawa wachumba washika bunduki....so now we r on top
Lini MANCHESTER United kawa on top ?yaani shangwe imezidi baada ya hawa watoto wa pompey kuwabania hawa wachumba washika bunduki....so now we r on top
Asante saanaSina la kusema- Arsenal leo hatukuwa na bahati- tuonane mwaka Ujao!
Mnawaza kuwa mabingwa???Haya, haya, haya, kumekucha kazi ndio kwanza inaanza. Lolote huweza kutokea ligi ya Uingereza.
Haya kashauzwa mboma hamchukui ubingwa sasaMimi naipenda sana Man U! Lakini huyu Saha ningependa auzwe haraka sana! naomba salamu zangu muzifikishe kwa Ferguson! By the way My fovourite players is Ronaldo & Evra, wakitoka hawa itabidi niu-review upenzi wangu juu ya Man United!
🙄🙄🙄🙄 We jamaa mchawiManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Nottingham0 vs Manchester United 2
12:30
GGMU![]()
🙌Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Nottingham0 vs Manchester United 2
12:30
GGMU![]()
We jamaa kweli pimbi weka na magoli basi7 hag huyu huyu aliyepewa €250m
Akachota €100m akamleta mchezaji wa YouTube?
Nitakuwa wa mwisho kuamini manjesta imepiga hatua View attachment 2589633
Tatizo lake mambo yakienda hovyo haonekani mwezi, mpira huu usiwe nao serious sn utapata urcers buree.hamis77 mchambuzi nguli amepotelea wapi leo ?
shida hana consistencyAisee game ijayo iwe hivihivi Dalot as LB when Shaw is out alikiwasha sana Dalot jana
Tukicheza na timu mbovu sana ndo maana uliona kacheza vizuri dalot ni mzuri timu kama inashambulia mkipoteana utamchukia iyo mechi.Aisee game ijayo iwe hivihivi Dalot as LB when Shaw is out alikiwasha sana Dalot jana




Tumecheza na timu zaifu dalot atuache ni element ya maguireshida hana consistency
Achezeshwe tu ivyoivyo kwenye kipindi hiki kgumuTupicheza na timu mbovu sana ndo maana uliona kacheza vizuri dalot ni mzuri timu kama inashambulia mkipoteana utamchukia iyo mechi.