Huyo jamaa mpumbavu sana yeye muda wote kuiponda timu Moja tu inamaana EPL nzima Kuna Manchester United peke yao?Mkuu mbona unapaniki na vitu vidogo Sana!?
Kwani 10hag mna undugu!? Duh
Doa kubwa ni kule mbele. Sancho na Martial!!! Wavivu wakubwa hawa.Hii defence ya leo!!!
David de Gea and Inshallah.
Afadhali..sipendi huyu mtuBREAKING: Marcel Sabitzer has suffered groin injury in the warm-up
Kwann humpendi?Afadhali..sipendi huyu mtu