7 hag kocha wa kawaida Sana
Simuon akimaliza msimu ujao kabla hajafungashiwa virago
Pale Ajax hata Jamhuri kiwelo anabeba Erevedise ,Ni sawa na Scotland tu ,Brendan Rodger alikuwa had unbeaten
7 hag pamoja na kukuta manjesta na wachezaji wazuri na bajet kubwa akaongezewa bado janja janja kibao
Usimfananishe na Arteta ambaye ndan ya miezi 6 alibeba FA cup mbele ya Mancity ,Chelsea na Liverpool waliokuwa Moto bila Bajeti yoyote
7 hag narudia Ni kocha wakawaida Sana ,ndio maana hata usajili tu unakuonesha Ni kocha wa aina gani
Ulishajiuliza kocha aliyekaa na mchezaji Ajax (means anamjua vzr) ,bado kamleta manjesta kwa €100m ,hapo tu unapaswa ujue Huyo kocha Ni level za kina David moyes
View attachment 2589582