Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 13,924
- 31,122
Magwire ni level ya Ambundo...Timecheza na timu zaifu dalot atuache ni element ya maguire
Magwire ni level ya Ambundo...Timecheza na timu zaifu dalot atuache ni element ya maguire
hile ni rebound sio asistHivi ile tunasema Martial ame-assist? Maana kipa ndio kapangua akampa Anthony akafunga.
tumuitie na mods ale ban kwanza😂
Huyu dogo kama vipi apunguze mshahara aendelee nasi msimu ujao kama back up striker,anatupa namna tofauti ya kushambulia lang la adui. Ni kama namuelewa E7+3H
Daaaahhhh we jamaa hebu tupumzishe kidogo, tunakukaribisha kwenye jukwaa la Arsenal ukawape maneno mawili matatu ya kuwafariji na kuwatia moyo kwa kipindi kigumu wanachopitia kwa sasa.Eric ten hag ni kocha ambae huwa anashinda mechi kimoyo moyo
Mkuu umeanza kuangalia mpira 1994 unajilinganisha na mimi? Mzuri sana Antony subiri mechi tatu mbele utakuja kukiri hapa.Mimi ni Manchester United tangu 1994 huyo Antony ni uchafu mtupu
Aisee..usimlinganishe Antony na vitu vya hovyo.Ila huyu antony na Sancho kuna muda wanazngua sanaView attachment 2590420
Sawa ngoja nikawatie moyoDaaaahhhh we jamaa hebu tupumzishe kidogo, tunakukaribisha kwenye jukwaa la Arsenal ukawape maneno mawili matatu ya kuwafariji na kuwatia moyo kwa kipindi kigumu wanachopitia kwa sasa.