Kitu cha maana sana umesema hapo ni akiwa "kama backup striker"Martial akitulia mtu sana. Atatufaa sana next season kama backup striker akiwa injury free.
EtH niletee Harry Kane.
View attachment 2590208
Hivi ile tunasema Martial ame-assist? Maana kipa ndio kapangua akampa Anthony akafunga.GOAL! Nottingham forest 0-1 Man Utd (33")
[emoji460]️: Antony
[emoji2402]: MartialView attachment 2590196
Nilisema last week. Antony ni kipaji halisi cha ki-brazil. Umeona hiyo assist yake hapo kwa Dalot. Amewapunguza mabeki wote.Antony gari limeanza kuwaka
Ukisema hivyo hatets wake wananuna [emoji1787][emoji1787]Nilisema last week. Antony ni kipaji halisi cha ki-brazil. Umeona hiyo assist yake hapo kwa Dalot. Amewapunguza mabeki wote.