😀walikuwa wanapata kiburi kwa sababu ya ubingwa now huwezi kuwaonaahapo hamis77 Mpaka next week.
Where's hamis77Mpira unadunda ila bado sijaona Manjesta ya kuwafunga wakata kuni Nottingham forest
Mjinga pekee ndio ataamini Maguire na Malacia wanaweza kuwazuia striker machachari kama LingardView attachment 2589640
mwaka huu mtaita maji mmaMpira unadunda ila bado sijaona Manjesta ya kuwafunga wakata kuni Nottingham forest
Mjinga pekee ndio ataamini Maguire na Malacia wanaweza kuwazuia striker machachari kama LingardView attachment 2589640
Huyu mwl asitufanye sisi hatuna akiliTen Hag on Antony:
'He is so good on the inside. So I've seen for instance Arjen Robben a lot.
They say he has only one trick but that one trick was so brilliant no one can stop it.'
Mimi ni Manchester United tangu 1994 huyo Antony ni uchafu mtupuNilisema last week. Antony ni kipaji halisi cha ki-brazil. Umeona hiyo assist yake hapo kwa Dalot. Amewapunguza mabeki wote.
Arsenal kesho atatoka sare ya 2-2Newcastle wamefungwa
Spurs wamefungwa
Kazi kwa United sasa, kesho ni points 3 tu na si vinginevyo.
Cheltako nao wamepigwa tena, hahah. Kesho Arsenyani naye apigwe.![]()
Uchafu ni wewe au yeye anayeingiza mamilioni kwa wiki?Mimi ni Manchester United tangu 1994 huyo Antony ni uchafu mtupu