Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,356
Match ya Brighton naombea sana acheze Wan Bissaka, yule Mitoma atamsumbua sana DalotTukicheza na timu mbovu sana ndo maana uliona kacheza vizuri dalot ni mzuri timu kama inashambulia mkipoteana utamchukia iyo mechi.
