Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aston villa wanacheza mpira mzuri kuliko Chelsea,Liverpool na Manjesta [emoji16][emoji1493]
 
Casemiro

Umri miaka 30

€70m

Unasajili mchezaji ambaye hawezi kudumu kwa long term project

Ina maana miaka miwili mbele tunarudi kule kule

Madrid wanamsajili Tchoumeni kwa €80m ,ana miaka 20-21 wanakuuzia Casemiro babu kwa €70m

Kihasibu Madrid wamemnunua Tchoumeni kwa €10m na Wana uhakika wakuwa nae kwa miaka 10
Usimlaumu huyu wadau watakushushia rungu
 
Utamchukia Anthony milele "ALIKUPIGA GOLI LA KIUFUNDI SANA" hamis77
Nimchukie ?

Kwahiyo Anthony hamjapigwa pale?

Kama kufunga ,hata Nicolas pepe aliwalamba Goli zuri Sana hapo OT ,Ila tulimuondoa ,had leo Anthony hawez mfikia uwezo Pepe
 
Brighton 70% Possession Chelsea 30%
Brighton 19 shots to Chelsea 3
Brighton 437 passes, Chelsea 217

HALAFU MTU MMOJA ANAKWAMBIA 7HAG BONGE LA KOCHA
 
Kwangu binafsi , 7hag ana mengi yakujifunza kwa Di zerbi

7hag kakuta timu ina wachezaji wazuri

Graza family wakamuongezea na bajeti ya €250m

Cha ajabu Sasa timu inacheza Kama GWAMBINA YA PASTA ATHANAS

Brighton 70% Possession Chelsea 30%
Brighton 19 shots to Chelsea 3
Brighton 437 passes, Chelsea 217

Chelsea are Pathetic[emoji1]
 
Dogo wewe ni mropokaji tu

Hakuna timu imetumia Hela kusajili km Chelsea ungeanza kuwapigia kelele wao sio sisi wa top4
 
Kwangu binafsi , 7hag ana mengi yakujifunza kwa Di zerbi

7hag kakuta timu ina wachezaji wazuri

Graza family wakamuongezea na bajeti ya €250m

Cha ajabu Sasa timu inacheza Kama GWAMBINA YA PASTA ATHANAS

Brighton 70% Possession Chelsea 30%
Brighton 19 shots to Chelsea 3
Brighton 437 passes, Chelsea 217

Chelsea are Pathetic[emoji1]
Yani unafananisha kocha aliye-dominate soka la Netherlands na mkulima wa nyanya huko Ukraine!?

Erik ten Hag tumemchagua sisi, huyo De Zerbi mchukueni nyie Arsenyani.
 
Screenshot_20230415-204123_Samsung Internet.jpg
 
Back
Top Bottom