Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnataka mpaka mzungu awaambie ndo muamini ndio maana mnaletewa vilainishi

Wakati tunasema Anthony Ni mchezaji wa ovyo mlibisha Sasa hivi Kila mechi mnalalamika
Sasa wewe Anthony awe mchezaji mzuri au wa hovyo anakuhusu nini? Hela unatoa wewe?
Hayo ya vilainishi unayajua wewe maana umeshalainishwa hadi umeshindwa kutunza siri
 
De zerbi ana mbinu za mpira na tactics kumzidi huyo ten hag ,...

Mpira tunaangalia mzee ,...

De zerbi angekuwa na world class player kama alionao ten hag ,basi tegemea kuona Barcelona ya pep akiibua de zerbi....
Hahah! Nyie si ndiyo kila siku mnasema United ina wachezaji wabovu, leo wamegeuka World class players!

Kubalini tu EtH ni kocha wa mpira na ndiyo kwanza yupo msimu wake wa kwanza 90% ni wachezaji aliowakuta.

Unai tu kakusanya points 32 mwaka huu 2023 huyo mkulima wa nyanya 33 toka October 2022.

Potter pia mlimsifia akapewa watu kafeli, sasa hivi mnampamba De Zerbi.

Eddie Howe pia mlimsifia ilipofika hatua za kocha kuhukumiwa (fainali) akaonyeshwa uwezo wake ulivyo mdogo ktk soka, kaja kushinda ligi mechi ambayo haina mantiki yoyote kwao (yes, UCL football waende kushiriki tu).

Mnamkosea sana heshima EtH.
 
Ten hagi kocha mweupe sana anazidiwa mbinu hata na Unai Emery kwa mbali usimfananishe na Di zerbi mpira tunaangalia Sana
Nyumbu mmekuwa mkiokolewa na Degea na fomu ya Rashford nje ya hapo Teni hagi angekuwa alipo Chelsea
Unai ni kocha mzuri lakini bado hafiki levels za EtH.

Kushinda Ligue 1 na PSG siyo mafanikio ya kudhihirisha umwamba ktk soka. Kuna watu wameshinda UCL na Porto.

Unai anafanya kazi nzuri kwa mid-table clubs. Alipewa Arsenyani msimu wake wa mwisho mlimaliza nafasi ya ngapi?
 
7hag kimbinu kwa di zerbi haingii ,ndio umfananishe na Mikel Artata Phenomenal?

Vilabu gani vikubwa vinamtaka Mourinho au Conte kwa Sasa

Conte alikuwa na safu bora ya ushambuliaji akaongezewa na pesa juu ,mkasema atagombea epl ,kashatimuliwa unadhani EPL ya sasa Ni hi ya kuwa na kina Sancho ,wanabisaka na weghost
Kama Arsenyani ni timu kubwa ina tofauti gani na Roma? Hivi Arsenyani na Roma nani kacheza Champions League ktk miaka 7 iliyopita?

Mourinho yupo Roma huko timu ileile iliyokuwa ina-struggle ashawapa kombe na kuwa kocha pekee kubeba makombe yote ya UEFA.

Mafanikio ya Arteta ktk miaka yote Arsenal yanaweza kufikiwa na EtH msimu huu tena anaipeleka timu UCL. Kipindi Arsenyani mnacheza bora liende mshasahau leo EtH msimu wa kwanza mnalazimisha acheze mpira mzuri.

Spurs ni bottlers tu kama nyie, makocha wote wazuri wanafeli.
 
NOTTINGHAM FOREST LEO TUNA JAMBO LETU
MANYUMBU TUTAPIGA PALE PALE KWENYE MSHONO MKIPATA HATA DROO TU NIPO PALE
LINGARD MAN OF THE MATCH
MAGUIRE LEGEND
 
Kama Arsenyani ni timu kubwa ina tofauti gani na Roma? Hivi Arsenyani na Roma nani kacheza Champions League ktk miaka 7 iliyopita?

Mourinho yupo Roma huko timu ileile iliyokuwa ina-struggle ashawapa kombe na kuwa kocha pekee kubeba makombe yote ya UEFA.

Mafanikio ya Arteta ktk miaka yote Arsenal yanaweza kufikiwa na EtH msimu huu tena anaipeleka timu UCL. Kipindi Arsenyani mnacheza bora liende mshasahau leo EtH msimu wa kwanza mnalazimisha acheze mpira mzuri.

Spurs ni bottlers tu kama nyie, makocha wote wazuri wanafeli.
Kwenye ligi ya EPL kwasasa, mpira wa kucheza kwa kusubiri counter umekosa nafasi ndio maana unaona timu zinazobeba makombe ya EPL kwa miaka ya hivi karibuni ni timu zinazocheza mpira wa kueleweka.

Inapokuja kwenye European theatre, mambo ni tofauti, timu nyingi zinazocheza mpira wa ujanja ujanja ndio zinapata mafanikio huko mostly.

Sitoshangaa ten hag akibeba Europa huku arteta akiondoka trophyless ( sababu city ndio itakua kikwazo pekee kwake kwenye ligi)
 
Ni Mwendawazimu Pekee Ndio Anaweza Kuamini Kuwa Manchester United Anaweza Kumfunga Nottingham forest.
Mimi Kama Mchambuz Nikiiangalia Hii Mechi Kiufundi Sion Kama Manjesta Atachomoka.!
Kama Unabeti Mpe Nottingham forest Ashinde Ukiliw Nakurudishia Hela Yako
 
IMG-20230416-WA0001.jpg
 
Brighton ndio timu bora kwenye build up EPL na DUNIANI kudadeki

Yule de zerbi aisee mi shabiki yake kitambo

Jana ziligawia pipi pale kati

Pumbavu sana wale watoto yule hawez kuendelea kufundisha Brighton wakati kuna wajinga wanafundisha timu kubwa kama TEN HAG na Lampard

Sasa pale walimkosa beki yao Levi colwill (loan kutoka Chelsea) kudadeki Chelsea wanabeki pale(Arteta alimtaka toka yupo academy Chelsea ,now mancty na Liverpool wanamtaka dirisha kubwa)

Kazi wanayo manake wanabadiashili
Nilikuwa doubt na caicedo ktk build up kumbe ameimprove sana Ukiachana na arsenal na City sasa hivi

Watafute Brighton uburudike Yule lewis dunk Southgate hamuitagi

Halafu anaitwa magwaya mara guehi
 
Dah unawashwa sana
 
Wangekuwa wanaongoza ligi kwa kuwapamba huku
 
Ni Mwendawazimu Pekee Ndio Anaweza Kuamini Kuwa Manchester United Anaweza Kumfunga Nottingham forest.
Mimi Kama Mchambuz Nikiiangalia Hii Mechi Kiufundi Sion Kama Manjesta Atachomoka.!
Kama Unabeti Mpe Nottingham forest Ashinde Ukiliw Nakurudishia Hela Yako
Personal issues kwa Manchester alafu unajiita mchambuzi, sikushangai na wengi mnaojiita wachambuzi bongo hizi ndo mentality zenu
 
Wangekuwa wanaongoza ligi kwa kuwapamba huku
Bajeti yao ndogo ,tunachoshangaa Yule Mitoma , Sol March wanawazidi mbali Sancho na Anthony

Ulishajiuliza mbona 7 hag alitumia bajeti kubwa lakini anarukaruka tu
 
Atumie bajeti kubwa au ndogo wewe upo huko nanjilinji inakuhusu nini sasa
 
Back
Top Bottom