Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lisandro martinez
1681458649514.png
 
Hii mechi hata Liverpool wangeshinda 5. Utoto na upuuzi mwingi sana, sijui EtH halioni hilo! Hasa kile kitoto chake alichokitoa Ajax sehemu ya kutoa pasi ana-force afunge mwenyewe.
20230414_141723.jpg
 
hamis77 mpaka muda huu atakua bado amelala? maana sio kawaida yake Man utd awe amedraw au kufungwa halafu yeye asije kutusagia kunguni humu, hii kima hata tukishinda hua lazima ije kumchamba Antony& Sancho na timu nzima kwa ujumla.
Dah nyie ndugu zangu, hivo huwa nakuja kuwaambieen ukweli

Au nasema uongo ndugu zangu
 
Varane Injury wiki 3

Lisandro Martinez injury miezi 2

Rashford injury wiki 3-4

BAADA YA WIKI 2HAD 3 NAIONA MANJESTA IKIGOMBEA KUFUZU MICHUANO YA EUROPA LEAGUE AU EUROPA CONFERENCE LEAGUE
 
Hii mechi hata Liverpool wangeshinda 5. Utoto na upuuzi mwingi sana, sijui EtH halioni hilo! Hasa kile kitoto chake alichokitoa Ajax sehemu ya kutoa pasi ana-force afunge mwenyewe.
View attachment 2587565
Pamoja na ujinga wa kocha jana, hii timu bado inahitaji wachezaji wazuri wasiopungua watano. Mmoja awe no. 9. Wout ni mzigo.

Antony ni mjinga sana, licha ya ubora wake katika kukaba ila hiyo haikuwa lengo la kununuliwa kwake. Amekuwa mjinga sana.
 
Back
Top Bottom