hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,510
Familia ya marehem Graza wakatoa €250m , afanye usajili ,Kachota €100m kawanufaisha Ajax
January ,7Hag kawafata familia ya marehem Graza akitaka apewe pesa Tena alete CF
Joel Graza akamwambia 7 hag aache uhuni
Wakamwambia Kuna €3m ,7 hag akasema ana Shemeji yake yupo uturuki anaitwa Werghost Lina funga Sana
Kamleta Ghost, had Sasa kwenye EPL jamaa ana goals 0 assist 0
Michuano yote ana Goli 1 la PAPATUPAPATU
Je Graza waachie timu kwa misingi ipi ?
Tusimame na Graza