Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anthony nilimuongelea ile siku ya kwanza tu dhidi ya arsenal watu wakasema sijui mpira [emoji2] inaweza kuwa ni kweli siujui ila kwa jamaa hata mimi kipofu niliona ni [emoji706]
10hag naona aliamua kuwapunguzia mzigo ajax

Kocha ndo anazingua kuhusu ishu ya ubinafsi hata Rashidi ni mbinafsi tena sana kinachombeba ni yale magoli yake
Sema all in all Anthony ni winga wa kawaida bora hata tungemchukua Moussa Diaby wa Leverkusen
 
7 hag kocha wakawaida Sana

Kwangu wanatofautiana kidogo Sana na Ole Guna sosha


7hag kimbinu hamuwezi Di zerbi, Ni vile Di zerbi Hana wachezaji wa Bei mbaya, imagine anamtegemea kinda Ferguson na welbek Kama CF, lakini ana GD kuliko timu yenye Anthony na Sancho combined €180m

[emoji298]️[emoji838] Pep Guardiola:

"The best team at making the build-up in the world is Brighton! There is no team better that make the process to get the goalkeeper to bring the ball into to the last quarter."

De Zerbi ball is getting the love from many!
 
Hii timu akiondoka Degea Kuna siku itagombea kushuka daraja

Kwa sajili hizi za sagula sagula mtakuja kusajili kipa Kama yule wa Azam ,Ahmada
 
Lisandro Martinez atakosa mechi zilizobakia

Rashford anadungwa masindano amalizie msimu

Varane nae anadungwa masindano


Tulishangaa kuhusu 7hag kila mechi kikosi hicho hicho ,akicheza na Reading, Chalton kikos Ni kauka nikuvae , Matokeo yake yatamtafuna Hadi msimu ujao
 
Wahuni wanakushugulikia halafu wanakupa msaada
IMG_20230414_205214.jpg
 
Magwaya the badman[emoji23][emoji23][emoji23]
Aliona watu wamekaa kimya muda mrefu bila kumzungumzia akaamua kurudi, Sasa yupo on trending media zote zinamuongelea Uncle Magu.
Mzee wakuchomesha au kukinukisha😁😁😁😁
 
Ten Hag ni dalali wa Ajax hapo MANCHESTER United yupo hapo kuwapa mapesa ya bure Ajax
 
Back
Top Bottom