Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,340
- 37,831
Labda hujui sheria za mpira.Last person unazuia mpira kwa mkono hiyo ni red card hakuna ubishi.Willian hakukuwa na haja ya red card, ila yule mwingine kiherehere chale mwenyewe
Hata defender ukiwa wa mwisho ukacheza rafu kwa maksudi ili kuzuia usifungwe unalamba red card.