Hujaangalia sub..kuna Anthony, Pelistry na Elanga. Wote hawa wana mbio sana. Sancho amepoa kama kiporo cha juzi.Kikosi sio unaona venye sub aina watu kabisa lazima Sancho aanze tu.
Elanga hivi ana offer kitu gani hasa? Naomba kujuaHujaangalia sub..kuna Anthony, Pelistry na Elanga. Wote hawa wana mbio sana. Sancho amepoa kama kiporo cha juzi.
Totally hujiaminiTukirudi kwenye EPL kidogo
Unaweza kuona kwenye table hapo kuna title contender mwenye GD ya 6 akiwa nyuma kwa points 19 dhidi ya top four contender mwenye GD ya 40
Tutaelewana kidogo kidogo View attachment 2558385
hatubishani na timu yenye aina hata ueropaTukirudi kwenye EPL kidogo
Unaweza kuona kwenye table hapo kuna title contender mwenye GD ya 6 akiwa nyuma kwa points 19 dhidi ya top four contender mwenye GD ya 40
Tutaelewana kidogo kidogo View attachment 2558385
Yani manyumbu yanapitwa GD hadi na Newcastle..Tukirudi kwenye EPL kidogo
Unaweza kuona kwenye table hapo kuna title contender mwenye GD ya 6 akiwa nyuma kwa points 19 dhidi ya top four contender mwenye GD ya 40
Tutaelewana kidogo kidogo View attachment 2558385
Europa ndo mdudu gani.. watu tunawaza mambo makubwa nyie mnawaza upuuzi!hatubishani na timu yenye aina hata ueropa
Iyo imepenya [emoji23][emoji23][emoji23]hatubishani na timu yenye aina hata ueropa
Who cares?Totally hujiamini