






Muamala umesoma kwa RefaUtakuwa wewe ndio umetumaMuamala umesoma kwa Refa
Tuko live hapa na Bundi wetu tumekuja nae View attachment 2558431
Hamkeni nyie nyumbuView attachment 2558422
Ndo vikome vilijifanya vinakaza etiRefa kashaalibu mechi kabisa red card 2 kwa Fulham.
Kamwe huwezi kusukuma Mwamuzi na bado ukabaki uwanjani.Refa kashaalibu mechi kabisa red card 2 kwa Fulham.
Refa kashaalibu mechi kabisa red card 2 kwa Fulham.
Unamgombeza mwamuzi?? kivipi yaaniKamwe huwezi kusukuma Mwamuzi na bado ukabaki uwanjani.
Ukiwa final man na ukagusa mpira unaoenda golini sio red card hiyo?Willian hakukuwa na haja ya red card, ila yule mwingine kiherehere chale mwenyewe